Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wakiwa ndani ya basi la Udart katika Kituo cha Magomeni. Mabasi hayo yalianza kutoa huduma kwa majaribio jana na leo kabla ya kuanza rasmi kesho ambako itatoza nauli. Picha na Omar Fungo
Dar es Salaam. Usafiri wa mabasi yaendayo haraka jana uliwachanganya wakazi wengi wa jiji la Dar es Salaam waliojitokeza kuchangamkia usafiri wa bure huku wakiibua vituko kutokana na