HONGERA SANA Grace Gideon Usiku Wako Ulifana sanaaa
Hatariiiii Afande Grace Mungu aiongoze familia yenu Mpya mnayoenda kuianza hongera Afande wanguUmetishà sana bi harus wangu @shangali58 @shangali58A post shared by Dr cheni (@drchenitz) on Feb 17,...
View ArticleBOOK NOW MC DR CHENI CALL +255 713 620 865 +255 754 222 201
Moja ya sherehe ambayo Dr cheni alikua MCMahsein Awadh Said Maarufu kwa jina la Dr cheni katika tasnia ya filamu ambaye kwa sasa pia ni MC Mshereheshaji wa sherehe kama harusi na matukio mbalimbali ya...
View ArticleTAZAMA CHENI TV KILA SIKU UHABARIKE,UELIMIKE NA UBURUDIKE
BOFYA HAPA KUITAZAMANISIKUCHOSHE BOFYA TU HAPA CHINI
View ArticleMagazeti ya Leo Tanzania Jumanne ya Novemba 21,2017
BONYEZA HAPA KUSOMA MAGAZETI MENGINE
View ArticleBreaking News:Jengo la Studio za Clouds Media Group Linaungua Moto
Sehemu ya jengo la kituo cha Chouds Media Group linaungua moto muda huu. Juhudi za kuuzima moto huo bado zinaendelea.
View ArticleHamisa Mobetto Atikisa na Filamu Yake ya Zero Player
FILAMU ya mwanamitindo Hamisa Mobeto iliyozinduliwa wiki iliyopita, katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Suncrest Cineplex uliopo ndani ya Quality Center, uliopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es...
View ArticleIrene Uwoya Aondoka na Baraka Zote Kutoka kwa Baba Mzazi wa Marehemu...
MSANII wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya ameagwa kwa maombi na baba mzazi wa aliyekuwa mumewe, Hamad Ndikumana,….. na kushukuru kwa baraka hizo jambo lililovuta na kuteka hisia za watu wengi.Katika...
View ArticleTANESCO yatekeleza agizo la Rais Magufuli..... Yaanza kubomoa jengo lake kwa...
Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) umesema umeanza utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli la kubomoa jengo lake lililo ndani ya hifadhi ya barabara eneo la Ubungo jijini Dar es...
View ArticleSerikali ya Zimbabwe Yatangaza siku ya kuzaliwa Rais Mugabe, Februari 21 kuwa...
Serikali ya Zimbabwe imetangaza siku kuu mpya ya kukumbuka mchango wa Robert Mugabe ambaye aliondolewa madarakani wiki iliyopita.Gazeti la serikali la Herald limesema sikukuu hiyo itakuwa ikiadhimishwa...
View ArticleSwahiba Amtandika Mshale Na Kumuua Rafiki Yake Kisa Deni la Sh, 4,000
Mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa katika Halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara, Paul Juma (38), ameuawa kwa kuchomwa mshale na rafiki yake, baada ya kutokea ugomvi kati yao.Inadaiwa ugomvi huo ulitokana na...
View ArticleRais Magufuli awasilisha fomu inayotaja mali na madeni yake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Desemba, 2017 amewasilisha fomu yake ya tamko kuhusu rasilimali na madeni katika ofisi ya Sekretarieti ya Maadili ya...
View ArticleGabo kufungua mwaka 2018 na tamthilia ya ‘Kapuni’
Msanii wa filamu, Salim Ahmed ‘Gabo Zigamba’ amejipanga kwa ajili ya mwakani kuja kivingine anasema amekuwa akipata maombi mengi na maoni kutoka kwa wapenzi wa kazi zake kuwa mbona haonekani katika...
View ArticleBAKWATA Yatangaza Mabadiliko....Viongozi Wote Watapatikana kwa Kuteulliwa na...
Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakari Zuberi amesema Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limefanya mabadiliko ya upatikanaji wa viongozi kwa nchi nzima kuanzia ngazi ya Masheikh wa wilaya, mikoa na...
View ArticleRais wa zamani wa Korea Kusini amehukumiwa miaka 24 jela
Rais wa zamani wa Korea Kusini Park Geun-hye, amehukumiwa miaka 24 jela baada ya kukutwa na hatia katika matumizi mabaya ya madaraka na kusababisha nchi kushuka kiuchumi.Park Geun-hye aliondolewa...
View ArticleRais wa Zamani Afrika Kusini Jacob Zuma Afikishwa Mahakamani
Aliyekuwa rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amefikishwa mahakamani leo katika mji wa Durban ili kujibu mashtaka ya rushwa, udanganyifu na kujitajirisha kinyume cha sheria. Kesi hii inasikilizwa kwa mara...
View ArticleShilole Achora Tatoo ya Mwisho Yenye Jina la Mumewe
Mwanamuiki wa kike ambae pia ni mjasiriamali, Shiloleh ameonyesha tatoo aliyochora kwenye mwili wake yenye jina la mume wake mpendwa uchebe yenye jina ‘ASHRAF‘ na kusema kuwa hiyo ndio tatoo yake ya...
View Article