Gaidi wa Kitanzania Aliyekamatwa Nchini Kenya Kwenye Tukio la Mauaji Garissa...
Mtanzania mmoja ambaye alikamatwa kuhusiana na shambulio la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa, Kenya (jina linahifadhiwa) ahojiwa.Taarifa zilizopatikana juzi usiku na kutangazwa na Shirika la...
View ArticleKARUME DAY.....FAHAMU MENGI KUHUSU KARUME
APRILI 7 ya kila mwaka, huwa ni siku maalumu ya watanzania kuadhimisha kumbukumbu ya kuuawa kwa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Kwanza wa Baraza la Mapinduzi na Makamu wa Kwanza wa Rais wa...
View Article"R.I.P Tunakukumbuka na tutaendelea kukumbuka" Dr Cheni
Tulifikiri ni ndoto kumbe kweli kanumba haupo tena na sisi kwenye ulimwengu mwili mpaka sasa umetimiza miaka 3 tangu ututoke tunakukumbuka tulikupenda sana mungu alikupenda zaid hatuna jinsi ila...
View ArticleSEND OFF PARTY YA DR.HAIKA MHANDO ARUSHA MC DR CHENI ALIHUSIKA
Bi harusi mpambe wake wakiwa na Mc Dr Cheni aliyefanya mambo makubwa Bi. harusi mtarajiwa Dr.Haika Mhando akiwa na mume wake mtarajiwa Dr.Mathew Kasumuni wakishangilia kw furaha baada ya kukabidhi...
View ArticleKANUMBA DAY:HEBU SOMA HIZI JUMBE MBALIMBALI ZA MASTAA WA BONGO MOVIES
Leo imetimia miaka mitatu tangu aliekuwa staa nguli wa Bongo Movies, Steven Kanumba afariki dunia, hizi ni baadhi ya jumbe ambazo mastaa kutoka Bongo Movies wameziandika kuonyesha kumbukumbu zao kwa...
View ArticleKanumba Day: Wastara Ana Haya Kuhusu Kitabu cha Kanumba
“Hiki kitabu chenye historia yako chatosha kunifanya nione umuhimu mkubwa uliokuwa nao katika tasnia na safari ndefu uliyopitia mpka ulimwengu kkutambua wew ni nani yoyte mwenye moyo wa dhati na...
View ArticlePIGA +255713 620 865 KWA MAHITAJI YA KUKODI GARI KWA AJILI YA SHEREHE YAKO
WAPENDWA KARIBUNI SANA KWA MAHITAJI YA KUKODI GARI KWA AJILI YA SHEREHE YAKO FOR BOOKING PLEASE USE THIS NUMBER +255713620865
View ArticleJB Asema Haya Kuhusu Kaburi la Kuambiana
Kufuatia wadau mbalimbali kuhoji kwa nini staa wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’ ameliacha kaburi la aliyekuwa mwongozaji wa filamu katika kampuni yake, marehemu Adam Kuambiana mwenyewe amefunguka...
View ArticleWema Sepetu 'Mimi SINA Kinyongwa na DIAMOND ila Yeye Ndio Anakinyongo na...
Akizungumza kwenye kipindi cha Ubaoni cha EFM leo, Wema alisema kuna siku alimtumia ujumbe wa simu Diamond kumpa pole kwa kumuuguza mama yake lakini alimchunia.“Tumeshaachana kwanini tuwekeane...
View ArticleHOUSEGIRL ANASWA AKIMNYONYESHA MAZIWA YAKE MTOTO WA BOSI WAKE
Mwaka jana kuna tukio lililoshtua wengi duniani na kuzungumziwa sana kwenye vyombo vya habari kuhusu msichana Jolly Tumuhiirwe wa Uganda, aliyemfanyia ukatili mtoto wa bosi wake Arnella mwenye umri wa...
View ArticleMUVI YANGU MPYA COMING SOON PART 1
Coming soon part 1A video posted by Dr cheni (@drchenitz) on Apr 18, 2015 at 7:01am PDT
View ArticleMUVI YANGU MPYA COMING SOON PART 2
My movie coming soon part 2A video posted by Dr cheni (@drchenitz) on Apr 18, 2015 at 7:05am PDT
View ArticleMTUNIS:" UIGIZAJI UNAHITAJI UMAKINI ZAIDI NA KUJIKOSOA PENYE MAKOSA "
Staa wa Bongo Movies, Nice Mohammed ‘mtunis’ amesema kuwa tasnia ya uigizaji inahitaji umakini zaidi ili kujikosoa penye makosa. Alisema licha ya kwamba filamu zinadaiwa hazilipihiyo siyo sababu...
View ArticleJB Kushirikiana na Wanachuo wa DUCE Kwenye Filamu ya ‘Maisha ya Chuo’
Kupitia ukurasa wake mtandaoni staa wa Bongo Movies,Jacob Stephen ‘JB’ amedokeza kuwa mwezi wa tisa mwaka huu atashirikiana na wanachuo kwenye kutengeneza filamu yake itakayoitwa Maisha ya Chuo.“Leo...
View Article