Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

MCHEKESHAJI KINYAMBE AFARIKI DUNIA

$
0
0

http://4.bp.blogspot.com/-o2eyeyQN6h0/UniMVvJgLBI/AAAAAAAAIoE/aAAnr9_f_iA/s640/Kinyambe1.JPG

Mchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah  "KINYAMBE" amefariki dunia leo usiku huko nyumbani kwao Mbeya.
Mmoja wa wanandugu wa Kinyambe ameithibitishia Saluti5 kuwa msanii huyo wa filamu ambaye pia alikuwa akijulikana kwa jina la James, amefariki baada ya kuugua kwa siku kadhaa.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>