Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Ujumbe Huu wa Ray Umewagusa Wengi

$
0
0
Mkali wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa mara kadhaa amekuwa akiandika ujumbe mbali mbali kwenyekupitia ukurasa wake mtandaoni kuhusu maisha kwa ujumla.
Ray
Ray
Kila mtu amekuwa akizichukulia jumbe hizo kwa namna anavyofikiria yeye mwenyewe lakini huu wa leo umewakuna wengi.
Ray ameandika;
Katika maisha unapoamua kuwa na mtu ni kwa maisha yako usihitaji mtu kwa ajili ya watu na usipende kuishi kwa macho ya watu hata shetani alikataa mbingu na Mungu hakuilaani mbingu alimlaani yeye aliyekataa mbingu”.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>