Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Wasanii wa filamu Elizabeth Michael na Single Mtambalike baada ya kupokea tuzo za wasanii hao walizoshinda nchini Nigeria. Tukio hilo lilifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 11, 2016 |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kupokea tuzo za wasanii wa filamu nchini walizoshinda nchini Nigeria. Wasanii hao ni Elizabeth Michael na Single Mtambalike. Shughuli hiyo ilifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 11, 2016. |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea Tuzo kutoka kwa Msanii wa filamu Elizabeth Michael |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akipokea tuzo kutoka kwa msanii wa filamu, Single Mtambalike |