$ 0 0 Rais John P. Magufuli anahutubia na kuzindua Bunge la 11, pia ataeleza mipango na mikakati ya Serikali ya Awamu ya 5. -Wabunge wa vyama vinavyounda UKAWA wametolewa nje na Spika baada ya kukataa kutii amri ya Spika ya kuwa watulivu