Watu wawili wameuawa mkoani Shinyanga katika matukio mawili tofauti, likiwamo la kijana kuchomwa kisu akigombea mwanamke katika baa ya Matunu mjini Shinyanga.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Dismas Kisusi alisema tukio la kwanza ni la juzi saa 6:00 usiku katika eneo la baa hiyo iliyopo mtaa wa Kaunda,