$ 0 0 Amesema mke wake hakumtukana askari aitwaye Deogratias Mbando bali walipishana. “Nilifuatilia suala hili, walitofautiana tu kauli. Mama hakutukana” alisema. Hata hivyo alisema suala hilo limeisha na asingependa kuendeleza malumbano hayoChanzo: Mtanzania