Walichoongea Rais Kikwete Na Maalim Seif Baada ya Kukuta Ikulu Jijini Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amekutana naMakamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharrif...
View ArticleSerikali Yatangaza ‘Kuminya’ AJIRA za Wageni......Wanaoishi Nchini Bila...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga ameagiza waajiri kote nchini kutowapa ajira wageni kwa kazi zinazoweza kufanywa na Watanzania.Pia, ameagiza maofisa wa Idara ya Uhamiaji kufanya...
View ArticleRais Magufuli Atoa Zawadi Za Sikukuu Ya Krismasi Kwa Watoto Wa Kijiji Cha...
Afisa Ustawi wa Jamii kutoka Sekretarieti ya Mkoa wa Dodoma Bi. Ziada Nkinda (Aliyebeba Mtoto) akikabidhi zawadi za siku kuu ya Noeli (Christmas) zilizotolewa na Mhe. Rais John Pombe Magufuli kwa...
View ArticleMC DR CHENI AKIWA KAZINI
Matukio Mbalimbali ya sherehe ambazo Dr cheni alikua MCMc Dr Cheni akiwa kazi "Hapa Kazi Tu"Mahsein Awadh Said Maarufu kwa jina la Dr cheni katika tasnia ya filamu ambaye kwa sasa pia ni MC...
View ArticleRais Magufuli Ashiriki Misa Ya Krismasi Kanisa La Mtakatifu Peter Jijini Dar...
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwasili kushiriki Ibada ya Krismas misa ya kwanza katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015. BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR MC DR CHENI I T & BUSINESS CONSULTANCY...
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA).............................. 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/= ADSENSE (BLOGGER...
View ArticleAskofu Morogoro Amtaka Rais Magufuli Kuendeleza 'moto' ili Kuwadhibiti Wapiga...
Serikali ya awamu ya tano imeshauriwa kuendelea na adhma yake ya kudhibiti watumishi wa umma wanaotumia madaraka yao vibaya kwa maslahi binafsi.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleBondia Thomas Mashali Amtwanga Cheka Mjini Morogoro
Bondia Thomas Mashari kutoka Dar amempiga Francis Cheka kwa pointi mjini Morogoro katika pambano la raundi 10, uzito wa Kg 77.Majaji wamempa Mashari pointi 94, 96 na 97 wakati mwenyeji Cheka amepata...
View ArticleDiamond Platnumz Aweka Historia Tena Dar Live...Angalia Alichofanya Hapa
Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
View ArticleFAHAMU JINSI YA KUANZA KUTIMIZA NDOTO YAKO HATA KAMA UNADHANI NI NGUMU
Na Lewis MbondeKinachofanya watu wafanikiwe ukiacha bahati ni swala la kujituma katika wayafanyayo. Haitoshi tuu kuota na kutamani kuwa wa aina fulani ya maisha, haitoshi tuu kuwa na mipango na...
View ArticleKiama cha Wafanyakazi Waliosafiri Nje Ya Nchi chaja
Adhabu inawanyemelea watumishi wa serikali waliokaidi agizo la kutosafiri nje ya nchi bila kibali cha Rais John Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.Habari zilizopatikana kutoka baadhi...
View ArticleWaganga Wa Tiba Asili Waigomea Serikali Kuzuia Kujitangaza........Wasema Dr....
Waganga wa Tiba Asili Nchini wamepinga tamko la Serikali lenye maagizo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku waganga hao kujitangaza katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. BONYEZA...
View ArticleWaziri Nape Akanusha Wizara Yake Kukataza Wanawake Kuvaa Mavazi ya Kubana
Waziri wa Habari, Utamaduni Wasanii na Michezo Nape Nnauye, amekanusha taarifa iliyosambaa mitandaoni inayohusu wizara yake kukataza baadhi ya mavazi hasa sehemu za mikusanyiko ya umma.Amesema Taarifa...
View ArticleRais Magufuli Awaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri Waliokuwa Wamesalia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Gerson Lwenge kuwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani...
View ArticleYanga Yatangaza Kuvunja Mkataba Na Haruna Niyonzima....Yamtaka Kulipa Fidia...
Afisa Habari wa klabu ya Yanga Jerry Muro wakati akizungumza na waandishi wa habari leo makao makuu ya klabu ya Yanga juu ya kuvunjwa mkataba kati ya klabu ya Yanga na Haruna Niyonzima*********Klaubu...
View Article