$ 0 0 Wabunge wanawake wa Upinzani(UKAWA) wametoka nje ya Bunge asubuhi hii, baada ya kauli kuwa wanapewa nafasi za Ubunge sababu wana mahusiano ya kimapenzi na viongozi waoKauli hiyo ilitolewa na Mbunge Goodluck Mlinga