Wabunge Wagomea Utaratibu wa Kujisajili Mara Mbili....Wadai wao ni Watu...
Wabunge wameitaka Ofisi ya Bunge iwaondolee mara moja utaratibu wa kusaini kwa kutumia vidole mara mbili kwa siku kwa kuwa wao si wanafunzi.Hoja hiyo iliwasilishwa kwa njia ya mwongozo na kuungwa mkono...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
PROJECT PROPOSAL ............................................................300,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITTING.......................................250,000/=RESEARCH PAPER...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleHuu ni Udhaifu wa Instagram Uliogunduliwa na Mtoto wa Miaka 10
Mtoto mwenye umri wa miaka 10 nchini Finland amewashangaza watu wengi baada ya kugundua udhaifu katika mtandao wa kijamii wa Instagram.Mvulana huyo kwa jina Jani ametunukiwa $10,000 (£7,000) baada ya...
View ArticleCCM Yakanusha Mwenyekiti wake Jakaya Kikwete 'Kugoma' Kukabidhi Uenyekiti kwa...
Baadhi ya vyombo vya habari vimekuwa vinatoa taarifa potofu kuhusu mchakato wa Mwenyekiti wa sasa wa CCM Dkt. Jakaya Kikwete kukabidhi kijiti cha uongozi wa CCM kwa Rais John Pombe Magufuli kama...
View ArticleMmiliki wa TP Mazembe Atangaza Kuwania Urais Jamhuri ya Demokrasia Congo
Mwanasiasa mashuhuri nchini Jamhuri ya Demokrasi ya Congo Moise Katumbi amethibitisha kuwa atagombea urais kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Novemba. Mfanyabiashara huyo na gavana wa...
View ArticleWalimu Wagoma, kisa mwenzao kuzabwa kofi darasani na Ofisa Elimu
WALIMU wa shule ya msingi Kianda wameanza mgomo wa siku mbili wa kutofundisha shuleni hapo huku wakilaani kitendo cha Ofisa Elimu (Shule za Msingi) wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa,...
View ArticleRais Magufuli Awaonya Walioficha Sukari......Atishia Kuichukua Sukari Hiyo na...
Rais Magufuli ametoa onyo kali kwa wafanyabiashara walioficha sukari ili baadae waiuze kwa bei kubwa.Amesema wafanyabiashara hao wenye tamaa ya pesa walikuwa wakifuata sukari iliyo Expire huko Brazili...
View ArticleWabunge Wanawake wa Upinzani Ukawa Wametoka nje ya Bunge Asubuhi Hii..Kisa...
Wabunge wanawake wa Upinzani(UKAWA) wametoka nje ya Bunge asubuhi hii, baada ya kauli kuwa wanapewa nafasi za Ubunge sababu wana mahusiano ya kimapenzi na viongozi waoKauli hiyo ilitolewa na Mbunge...
View ArticleTRA Yazidi Kuvuka Malengo Ya Ukusanyaji Mapato
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezidi kuvuka malengo ya ukusanyaji mapato kwa kukusanya asilimia 99 ya lengo la kukusanya mapato kwa mwaka wa fedha 2016/2017 kwa kukusanya Shillingi Trillioni 10.9...
View ArticleBreaking News: Jengo la Ofisi za Kazi Mtaa wa Bibi Titi Dar Lawaka Moto
Moto umezuka jioni hii kwenye Jengo la ofisi za Kazi, Mtaa wa Bibi Titi Mohammed, Jijini Dar es salaam, na habari zilizotufikia magari ya Zimamoto yapo eneo la tukio na juhudi za kuuzima zinaendelea....
View ArticleMadee Afunguka Undani wa Wimbo wa ‘Haya Yote ni Maisha’ ya P Funk
Msanii Madee amefunguka undani wa wimbo wa ‘Haya Yote Maisha’ wa Producer P Funk Majani ambao ameimba yeye, wimbo ambao ulishika chati na kugusa hisia za watu wengi.Akiongea kwenye Planet Bongo ya East...
View ArticleMakonda Amtembelea Diamond Ofisini Kwake...Diamond Afunguka Haya
From @diamondplatnumz - Shukran sana sana Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam @PaulMakonda kwa kututembelea katika Office zetu za @Wcb_Wasafi jana usiku.... ujio wako Umetutia nguvu na Moyo mkubwa katika...
View ArticleHUU HAPA NI UJUMBE WA RAY KIGOSI KWA VIJANA
Msanii wa filamu nchini Ray Kigosi amefunguka na kusema kuwa yeye furaha yake ni kuona vijana wenzake wakifanikiwa na kupiga hatua kimaendeleo.Ray Kigosi amewaasa vijana wenzake kuwa wasikae...
View ArticleGD SAGRADA ESPERANCA YA ANGOLA YACHEZEA KICHAPO CHA GOLI 2-0 KUTOKA KWA YANGA
Mshambuliaji wa Yanga, Matheo Anthony akishangilia bao la pili aliloifungia timu yake katika mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya GD Sagrada Esperanca uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI MAAFISA 586 KATIKA CHUO CHA MAAFISA WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride kabla ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wapya 586 wa jeshi la Wananchi wa Tanzania kundi la 58/15...
View Article