TRA Yataifisha na Kugawa Bure Sukari Mifuko 5,319 toka Brazil
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imegawa Sukari yote ya Magendo Mifuko 5319 yenye thamani ya Zaidi ya BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleRiyama Afunguka Kutomsamehe Mtu Huyu kwa Kumdhulumu Pesa
MWIGIZAJI mahiri katika tasnia ya filamu Bongo Riyama Ali amelalamikia madalali wa kazi za wasanii kwa kuwa chanzo cha dhuluma kwa wasanii wanaotengeneza filamu, huku wao wakijinufaisha na jasho lao...
View ArticleMtoto Asiye na Mikono Ashinda tuzo la Muandiko Bora
Anaya Ellick kutoka Chesapeake, Virginia hatumii viungo vya kumsaidia wakati anapoandika.Wakati anapoandika yeye husimama huku akishikilia kalamu yake katika mikono.Mwalimu wake mkuu Tracy Cox kutoka...
View ArticleCHIEF RAMSO MMOJA WA WAASISI WA HIPHOP NCHINI AENDELEZA KAZI YAKE ZA MUZIKI...
Mmoja wa waasisi wa muziki wa kufoka foka nchini Chief Rhymson kutoka kundi la Kwanza Unit ambaye kwa sasa anafahamika kwa jina la Zavara ameendelea kufanya kazi zake za kimuziki katika eneo la...
View ArticleHII NDIO HOTELI YA KITALII ILIYOPO CHINI YA BAHARI HUKO ZANZIBAR
Kisiwa cha Pemba nchini Tanzania kimekuwa maarufu kwa kilimo cha karafuu visiwani Zanzibar kwa miaka mingi tangu enzi za utawala wa Kiarabu visiwani humo. Hata hivyo zao hilo limekuwa likikumbwa na...
View ArticleKingwendu Kujikita Zaidi Kwenye Muziki, Sasa Asaka Meneja
Msanii wa vichekesho na muimbaji, Kingwendu amesema angependa kuwa na msimamizi wa shughuli zake katika sanaa ya muziki ili aweze kutoka badala ya kutegemea uchekeshaji peke yake.Msanii wa vichekesho...
View ArticleKIKWETE AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE MAZISHI YA LUCY KIBAKI NCHINI KENYA
Mwili wa mke wa Rais wa Kenya mstaafu Mhe. Mwai kibaki , Mama Lucy Kibaki ukiwasili kwa ajili ya mazishi hapo jana katika eneo la Bunge la Odhaya kaunti ya Njeri,mjini Nairobi nchini Kenya.Rais Mstaafu...
View ArticleJahazi la Simba Lazama Mbele ya Timu ya Mwadui Nakuipa Yanga Ubingwa wa Ligi...
Leo jioni timu ya Simba imekubali kichapo kitakatifu toka kwa timu ya Mwadui ya Shinyanga inayofundishwa na Kocha wa Zamani wa Simba Julio..Kichapo hicho cha goli moja bila goli lililofungwa na...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
PROJECT PROPOSAL ............................................................300,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITTING.......................................250,000/=RESEARCH PAPER...
View ArticleDiamond, Wizkid, Flavour kutumbuiza Barclays Center, New York, July 22
Ni ukumbi wa ndani kwa ndani maarufu mno jijini New York, Marekani nyumbani kwa wasanii wakubwa wakiwemo Jay Z, Beyonce, Justin Bieber, Rihanna, Drake, taja kila msanii mkubwa wa Marekani, amewahi...
View ArticleBush Asema Hatampigia Kura Donald Trump
Aliyekuwa mgombea wa urais wa tiketi ya chama cha Republican nchini Marekani, Jeb Bush amesema hatampigia kura Donald Trump katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika nchini humo Novemba mwaka huu.Bush alisema...
View ArticleWEMA Sepetu "Sipendi Watu Wanavyonitukana Mgumba Instagram..Saa Zingine...
Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa hapendi watu wanavyomwita mgumba ama kuendelea kumuongelea kuhusuBONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleMbunge Apinga Wakunga Wanaume Kuruhusiwa Kuwahudumia Wanawake Wakati wa...
Mbunge wa Viti Maalumu (CUF), Riziki Mngwali amepinga mpango wa Serikali kuajiri wakunga wanaume katika baadhi ya zahanati kuhudumia wajawazito wakati wa kujifungua kuwa ni udhalilishaji dhidi ya...
View ArticleAnkal Issa Michuzi wa Issa Michuzi Blog Afiwa na Mtoto wake
Ankal Issa Michuzi anasikitika kutangaza kifo cha mwanae Maggid Muhidin kilichotokea jana Jumapili huko Durban, Afrika Kusini, alikokuwa masomoni.Mipango ya kuusafirisha mwili wa marehemu inafanywa,...
View ArticleHalmashauri ya Jiji la Dar es Salaam yavunnja mkataba wa UDA
Hatimaye uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, umevunja mkataba wa uwekezaji wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam(UDA) na Kampuni ya Simon Group Limited inayomilikiwa na mfanyabiashara,...
View ArticleAY na Mwana FA Waingia Kortini Kuishtaki Kampuni iliyotumia Nyimbo zao Bila...
Kuna uwezekano mkubwa, AY na Mwana FA wamefungua kesi ya masuala ya ukiukwaji wa haki miliki za kazi zao. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
View Article