Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Mashindano ya COPA UMISSETA yazinduliwa mkoani Kilimanjaro

$
0
0
 
 
 Na Victor Joseph ,LEWIS MBONDE BLOG
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick(kulia)akipokelewa na  Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa kampuni ya Coca Cola,Bonite ya mjini Moshi,Christopher Loiruk alipowasili kuzindua michezo ya COPA UMISSETA kitaifa kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,mjini Moshi ambayo mwaka huu michezo hiyo imedhaminiwa na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola
 Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick akikagua moja ya timu iliyoshiriki mashindano ya uzinduzi
 Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick akipiga mpira wa penati wakati akizindua michezo ya Shule za Sekondari( COPA UMISSETA)kitaifa kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,mjini Moshi ambayo mwaka huu michezo hiyo imedhaminiwa na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola.
 
 
Wanafunzi wa Shule za Sekondari Reginald Mengi na Northern Highland wakichuana kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi wakati wa uzinduzi wa michezo ya Shule za Sekondari ya COPA UMISSETA kitaifa mkoa wa Kilimanjaro.Mashindano haya mwaka kuu yanadhaminiwa na kampuni ya Coca Cola

 
 
                        Wanafunzi wakipokea vifaa vya michezo kutoka kampuni ya Coca Cola

Afisa Masoko wa Kampuni ya  Coca Cola,Mariam Sezinga akiongea wa waandishi wa habari wakati wa hafla hiyo


Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick akihutubia wananchi waliohudhuria uzinduzi wa mashindno hayo

Baadhi ya walimu wa shule za sekondari waliohudhuria uzinduzi huo wakipunga mkono wakati wa zoezi la utambulisho 



Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>