Mashindano ya COPA UMISSETA yazinduliwa mkoani Kilimanjaro
Na Victor Joseph ,LEWIS MBONDE BLOGMkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick(kulia)akipokelewa na Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa kampuni ya Coca Cola,Bonite ya mjini Moshi,Christopher Loiruk...
View ArticleMAMIA YA WAKAZI WA JIJI LA MBEYA WAJITOKEZA KUMZIKA MSANII KINYAMBE
MBEYA: MAMIA ya wakazi ya jiji la Mbeya wamemzika aliyekuwa msanii wa vichekesho James Petro Nsemwa (30) maarufu kama Kinyambe ambaye alifariki dunia jumatano ya wiki hii mkoani Mbeya, katika makaburi...
View ArticleMimi si Mali ya Mtu na Wala Sipo Kwa Ajili ya Kujiuza-Wastara Juma Afunguka
DOWNLOAD UDAKU SPECIAL APP HAPAStaa wa Bongo Movie, Wastara Juma ambaye siku za karibuni aliomba talaka kutoka kwa mume wake amefunguka na kusema yeye sio mtu wa kujiuza, bali ni mtu ambaye anajijali...
View ArticleSafari Ya Mwisho Ya Mtoto Wa Issa Michuzi Maggid Muhidini Michuzi
Baba wa marehemu (mwenye kofia), Issa Michuzi akipewa pole na baadhi waombolezaji mara baada ya maziko ya mtoto wake Maggid Muhidin Michuzi (18) yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es...
View ArticleSerikali Yanasa Kilo 34,000,000 za Sukari Mafichoni
Shehena ya sukari ya kilo milioni 34 zilizokuwa zimefichwa kwenye maghala ya wafanyabiashara watatu Kilimanjaro imekamatwa na vyombo vya usalama, na serikali mkoani humo imetangaza kuiuza kwa wananchi...
View ArticleMtoto wa Michael Jackson Aanza Kufuata Nyayo za Baba yake
Mtoto wa nyoka ni nyoka tu.Hatimaye mtoto wa Michael Jackson, Pris Jackson (18) ameanza kufuata nyayo za baba yake kwa kuanza kutoboa ulimi. Paris amepost picha inayomuonyesha akiwa ametoboa ulimi na...
View ArticleWaziri Nape Alivyofafanua Suala La Kurusha Live Bunge Mjini Dodoma
Sehemu ya Majumuisho ya Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akitolea ufafanuzi suala la Bunge kurushwa Live na studio za Bunge.
View ArticleWaziri Mkuu Kassim Majaliwa Aondoka London Kurejea Nchini
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na wafanyakazi wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London wakati alipoondoka kwenye hoteli ya Intercontinental kurejea Dae es salaam Mei 15,...
View ArticleWatu 12 Watiwa Mbaroni Wakituhumiwa Kuhusika na Mauaji ya Watu 7 Jijini Mwanza
Siku chache baada ya watu saba wa familia moja kuuawa kwa mapanga wilayani Sengerema mkoani Mwanza, polisi wamefanikiwa kuwatia mbaroni watu 12 kwa tuhuma za mauaji hayo huku mmojawapo akikamatwa kwa...
View ArticleAika: Nina Wivu Hatari Kwa Nahreel Acha tu
Memba wa Kundi la Navy Kenzo, Aika Mareale amefunguka kuwa ana wivu wa kupindukia kwa memba mwenzake ambaye ni mpenzi wake, Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ wanaotamba na wimbo wao wa Kamatia Chini kwani kuna...
View ArticleMashabiki wa Diamond Washerehekea Tangazo hili la MTV Base
Seems like Diamond Platnumz amewapa taarifa muhimu MTV Base.Kupitia akaunti yake ya Instagram, kituo hicho cha runinga kiliandika kuwa staa huyo anakuja na collabo na Chris Brown.“@diamondplatnumz...
View ArticleLady Jaydee Kutoa Kauli yake Leo Baada ya Kudai Kudhalilishwa na Gardner
Siku 14 tangu Mtangazaji wa Clouds Fm Gardner Habash kudaiwa kutoa lugha ya udhalilishaji dhidi ya aliyekuwa mke wake Judith Wambura, mwanamuziki huyo maarufu kwa jina la Lady Jaydee, amesema leo...
View ArticleHere are Twenty (20) Reasons Why You Should Visit Zanzibar – Tanzania
Zanzibar’s reputation as an island paradise is not an exaggeration. Zanzibar is actually a whole group of islands – two large islands –Ungoja and Pemba plus other small islands. The beautiful island...
View ArticleMakosa ya Mwanaume yanayosababisha Mke Amsaliti
Kuna sababu anuai zinazomfanya mwanamke amsaliti mumewe. Ni muhimu kutambua kuwa mwanamke ni kiumbe mwenye hisia kali na daima ahisi raha na amani. Baadhi ya nyakati hufanya usaliti ili kuziba pengo la...
View ArticleHii Ndio Kazi Nyingine ya Johari Mbali tofauti na Uigizaji
Msanii mkongwe wa filamu, Brandina Chagula ‘Johari’ amesema nje ya filamu anafanya biashara ya mapishi ya vyakula mbalimbali lakini ni kwa oda maalum.Muigizaji huyo ambaye pia ni mkurugenzi wa kampuni...
View ArticleWalimu 35,411 Kuajiriwa Mwezi wa 7 Mwaka Huu
Walimu 35,411 nchini wataajiriwa katika shule za msingi na sekondari katika mwaka wa fedha 2016/2017.Watakaokaidi kwenda kuripoti katika mikoa ya pembezoni, hawataajiriwa na serikali.Hatua hiyo...
View Article