Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Diamond Platnumz Atoa Msada wa Madawati 600

$
0
0
Msanii Diamond Platnumz akiwa na uongozi na wasanii wote wa WCB, leo wamemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda madawati 600 ya wanafunzi ambayo yatasaidia takribani ya wanafunzi 1800 katika jiji la Dar es Salaam ambao walikuwa wanakaa chini.
DIAMOND94
Msanii Diamond Platnumz akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda
“Mapema leo na familia nzima ya WCB wasafi katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh Paul Makonda tulivyoenda kumkabidhi Madawati 600 kwajili ya Wanafunzi wa shule za Dar es Salaam. Madawati hayo ambayo yataweza kusaidia Wanafunzi elfu moja na mia nane kutoka kwenye kukaa chini na kuweza kukaa kwenye dawati na kupata elimu Vyema” Diamond  aliandika kwenye ukurasa wake mtandaoni.
diamond44
diamond56diamond57



Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>