Diamond Platnumz Ategua Kitendawili..Amsainisha Rasmi Rich Mavoko Kwenye Lebo...
Mwanamuziki Diamond amemchukua rasmi mwanamuziki Rich Mavoko na sasa atakuwa chini ya lebo yake ya Wasafi ..Baada ya tetesi nyingi sasa leo rasmi amemtangaza mwanamuziki huyu kuwa chini ya lebo yake...
View ArticleKikwete: Nchi za Afrika Haziwezi Kukwepa Misaada ya Wazungu
Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema nchi za Afrika haziwezi kukwepa misaada kutoka nchi za Ulaya kwa kuwa misaada hiyo ni jukumu lao la kihistoria. Kikwete alisema hayo jana wakati wa...
View ArticleMagufuli: Wanaopita Kwenye Barabara za Mwendokasi Chomoeni Tairi za Magari...
Rais John Pombe Magufuli achukizwa na uharibifu na matumizi mabaya ya miundombinu ya mabasi ya mwendo kasi na kuagiza mamlaka zinazohusika ziwachukulie hatua kwa wasiofuata sheria.Amewataka wachukue...
View ArticleMama Janeth Magufuli aahidi kuendelea kusaidia kambi za wazee na watu wenye...
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli ameahidi kundelea kusaidia kambi za wazee na watu wenye ulemavu ikiwamo ukoma kutokana na kundi hilo kusahaulika kwa muda mrefu.Mama...
View ArticleSerikali Yakanusha Habari Zilizoandikwa na Gazeti la Kiingereza Kuwa Rais...
SERIKALI imekanusha habari zilizoandikwa na gazeti la Kiingereza linalotpka kila wiki lililodai kuwa Rais Dk.John Magufuli anaongoza nchi kwa msukumo licha ya kuonekana mzuri na kuwa taarifa hiyo...
View ArticleShetta: Mimi sibebi Unga
Star wa Bongo Fleva Shetta anayefanya vizuri na wimbo wake mpya wa ”Namjua” ameweka wazi juu ya mafanikio yake baada ya kuwa na tetesi nyingi kuwa siku hizi na yeye anabeba mabegi ya unga.Akizungumza...
View ArticleAunty Ezekiel:SIHITAJI TENA MARAFIKI
BAADA ya urafiki wa waigizaji mashuhuri na wanaozungumzwa sana nchini, Wema Sepetu na Aunty Ezekiel ‘Mama Cookie’ kuvunjika, waigizaji hao wameibuka na kudai kwamba hawahitaji marafiki.ema Sepetu na...
View ArticleBREAKING NEWZZ: BONDIA MOHAMED ALLY AMEFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI
Bingwa wa zamani wa ndondi na mwanaharakati wa nchini Marekani, Muhammad Ali ‘The Greatest’ amefariki dunia. Ali alifariki Ijumaa hii kwenye hospitali ya huko Phoenix ambako alikuwa akitibiwa kutokana...
View ArticleHONGERENI SANA MR & MRS BUBEKI HARUSI YENU ILIFANA SANA HAITAKUJA TENA KUJIRUDIA
Maharusi wetu Mr and Mrs Bubeki Ukihitaji picha zenye ubora basi tuone tukabidhi tukupigie picha kwenye sherehe yako kama hiziNikiwa na maharusi Ukihitaji picha zenye ubora basi tuone tukabidhi...
View ArticleTanzania imetolewa na Misri michuano ya AFCON 2017 leo June 4
June 4 2016 ilikuwa ni siku ambayo timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars itacheza mchezo wake wa tatu wa Kundi G wa kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika 2017 AFCON, kwa kucheza na timu ya taifa...
View ArticleWalimu 5 Waishi Darasani Kwa Miaka Mitatu
FAMILIA tano za walimu wa shule ya sekondari Shishani Kata ya Migato Halmashauri ya Itilima Mkoani Simiyu, zinaishi jengo la utawala tangu mwaka 2013.Hali hiyo inatokana na ukosefu wa nyumba za walimu...
View ArticleHongera sana Elizabeth mungu aendelee kukung'arisha zaid ya hapo vipingamizi...
Bi harusi mtarajiwa kulia akiingia na mpambe wakeBi harusi MTARAJIWA Eizabeth na mume wake mtarajiwa usiku wako ulifana sanaaa Bi harusi mtarajiwa Elizabeth akitabasamu Mc Dr Cheni na bi harusi...
View ArticleHatimaye Mwana FA kaoa, sahau kabisa kuhusu bado niponipo sana
‘Bado Niponipo’ ni moja ya nyimbo zake kubwa kuwahi kutokea pia katika bongofleva ambayo ilibebwa na swali kubwa la MwanaFA unaoa lini? sasa jibu lenyewe ndio limepatikana leo June 5 2016.Picha kutoka...
View ArticleJ B,RAY NA JOHARI NA IRENE UWOYA WAAMUA KUREJESHA ENZI ZA TAMTHILIA, HIZI NI...
Tamthilia za kwenye runinga zimetengeneza mzizi wa filamu za Tanzania. Kwa lugha nyingine, kama kusingekuwepo na maigizo ya kwenye TV, pengine kusingezaliwa mastaa wengi wa filamu tulionao sasa. Karibu...
View ArticleDiamond Platnumz Atoa Msada wa Madawati 600
Msanii Diamond Platnumz akiwa na uongozi na wasanii wote wa WCB, leo wamemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda madawati 600 ya wanafunzi ambayo yatasaidia takribani ya wanafunzi 1800...
View Article