Hongera Sana Mr and Mrs John bendera
Hongera Sana Mr and Mrs John bendera Kwetu ni burudan tu hata ukiwa umekaa tunakupigia mziki tuNasema hivi burudan kwetu ndio kila kitu utacheza tu hata kama umelala fofooo au umekaa
View ArticlePolisi Watumia Mabomu ya Machozi Kuwatawanya Wafuasi wa CHADEMA
Polisi mkoani Kahama wametumia mabomu ya machozi kutawanya makundi ya wananchi wanaokutwa wamekusanyika katika maeneo mbalimbali.Mabomu hayo yameendelea kurindima katika viwanja vya CDT ili kuwatawanya...
View ArticleBunge Lakanusha Uvumi Ulioenea Kuhusu Afya ya Spika wa Bunge Job Ndugai
Ofisi ya Bunge imesema Spika wa Bunge, Job Ndugai anatarajiwa kurejea nchini muda wowote akitokea India alipokuwa akifanya uchunguzi wa afya yake.Taarifa hiyo ya Bunge imekuja siku moja baada ya...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleBei Elekezi ya SUKARI Sasa ni Shilingi 2,300 Waziri Mkuu Atoa Mwongozo
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema sukari haitakuwa tatizo katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na wakuu wa mikoa wamepewa maelekezo kilo moja isizidi Sh 2,300. Alisema hayo jana wakati wa mahojiano na...
View ArticleHotuba Ya Waziri Wa Fedha Na Mipango Kuhusu Bajeti ya Serikali Mwaka 2016/2017
UTANGULIZI1. Mheshpika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee, lijadili na kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2016/17. BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleKuna Msanii Mkubwa Hakupenda Mimi Kujiunga na WCB – Rich Mavoko
Kuna Msanii Mkubwa Hakupenda Mimi Kujiunga na WCB – Rich MavokoMsanii mpya kutoka lebo ya WCB, Rich Mavoko amesema kuna msanii mkubwa bongo alimkataza kujiunga na WCB.Akiongea kwenye kipindi cha Planet...
View ArticleMchanganuo Mzima wa Bajeti ya Serikali 2016/ 2017 Iliyosomwa Jana...
SERIKALI imewasilisha Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2016/2017 ya Sh trilioni 29.53, ambayo nguvu kubwa imewekwa katika kukusanya mapato kwa kulinda viwanda vya ndani na kubana matumizi ya serikali ili...
View ArticleMwanza, Kagera, Kigoma Zaongoza kwa Umasikini wa Kipato
PAMOJA na maendeleo yaliyotokana na kukua kwa pato la wastani la Mtanzania na kupungua kwa umasikini wa mahitaji ya msingi, serikali imeainisha mikoa mitano iliyokithiri kwa umasikini wa...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
CALL +255 658 194 194 BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA).............................. 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/=...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA HASHIM THABEET MCHEZAJI WA NBA LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mchezaji wa kikapu wa kulipwa nchiniMarekani, Mtanzania Hashim Thabeet, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu wa...
View ArticleBOT YAPANGA KUONDOA NOTI ZOTE ZA MIA TANO NDANI YA MIEZI 4 IJAYO
Benki kuu ya Tanzania (BoT)imepanga kuondoa noti zote za shilingi mia tano ndani ya miezi minne ijayo kutokana na uchakavu.Mkurugenzi wa kurugenzi ya usimamizi wa mabenki Martian Kobelo amesema sarafu...
View ArticleKilio Kwa watumia M-pesa, Tigo Pesa , Airtel Money na Wale wa Kwenye...
Wachambuzi na wadau mbalimbali wametoa maoni yao kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2016/17, huku watumiaji wa huduma za fedha kwa njia ya simu wakikumbwa na maumivu wa kodi.Hiyo ni siku moja...
View ArticleVIDEO:Jionee Wizi Mpya wa Mpesa na Tigo pesa, Jamaa Kaibiwa Sh 720,000
Utapeli umekua mwingi sana hapa mjini, watu wengi wanatapeliwa kila siku. Kutapeliwa ni kutapeliwa tu haijalishi ujanja utakaotumika ni wa sasa au wa zamani. Ila siku za karibuni kumetokea aina mpya ya...
View Article