Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi Ataka Mabasi ya Mwendokasi Kwa Ajili ya...
Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi ameishauri Kampuni inayoendesha Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Udart) kuongeza mabasi ya wanafunzi na mengine ya wazi juu ya watalii...
View ArticleMAELFU WAJITOKEZA KUMUAGA BONDIA MUHAMMAD ALI
Muhammad Ali "janazah"..REST IN HEAVEN THE GOAT!!(greatest of all the time)Muhammad Ali Clay | Namaz-E-Janaza In Freedom Hall | Louisville Kentucky US |
View ArticlePICHA 40 ZA MAZISHI YA BINGWA ZAMANI WA NGUMI ZA UZITO WA JUU MMOHAMED ALI
BONYEZA HAPA KUZIONA
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
CALL +255 658 194 194 BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA).............................. 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/=...
View ArticleWatuhumiwa 711 Wakamatwa Dar es Salaam
Kamanda wa polisi kanda maalumu Dar es salaam Simon .N. Sirro amesema jumla ya watuhumiwa 711 wa makosa tofauti tofauti wamekamatwa kati ya siku ya juma tatu mpaka Alhamisi usiku wiki hii.Akitoa...
View ArticleAmtaka Mama yake Amtunzie Watoto Baada ya Kumuua Mkewe kwa Kumchinja na...
Watu watatu wamefanya mauaji ya kutisha, wawili wamechinja wake zao, huku mmoja akiacha ujumbe wa kumtaka mama yake mzazi amtunzuie watoto na mwingine amemuua mama yake. Katika tukio la Dodoma, Samson...
View ArticleMwanza: Kijana Awafungia ndugu zake Ndani na Kuchoma Moto Nyumba
Nyumba moja iliyopo mtaa wa Kiseke wilayani Ilemela mkoani Mwanza imeteketea kwa moto leo asubuhi na kuunguza vitu vingi huku wakazi wa nyumba hiyo wakinusurika. Taarifa zinaarifu kuwa, nyumba hiyo...
View ArticleMWALIMU MKUU WA SHULE YA MSINGI ADAIWA KUMPATIA MIMBA MWANAFUNZI WA DARASA LA...
ALIYEKUWA mwalimu mkuu wa shule ya msingi Mwadui iliyopo kata ya Ngokolo manispaa ya Shinyanga Jimrodi Tiwashobwa ametuhumiwa kumpatia mimba mwanafunzi wa darasa la sita (12) .Hayo yalisemwa jana...
View ArticleWCB yatoa mwongozo wa adhabu wanazotoa kama msanii wao akifanya makosa
Akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni, mmoja kati ya viongozi wa juu wa label hiyo, Babu Tale amesema wao kama uongozi watasimama kidete kuhakikisha wasanii wa WCB wanakuwa mfano wa kuigwa...
View ArticleWasanii Watoa ya Moyoni Bajeti ya Sh Bilioni 3
WAKATI Serikali ikitenga Sh bilioni 3 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya sanaa, ubunifu, utamaduni na michezo zitakazotumika kuratibu na kusimamia uanzishwaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Sanaa...
View ArticleSerikali Yatangaza Vita Dhidi ya Majambazi na Watu Wanaojihusisha na Mauaji
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Yusuf Masauni ametangaza vita dhidi ya majambazi na watu wanaojihusha na mauaji. Alisema Serikali imelazimika kutangaza vita hivyo baada ya kutokea matukio...
View ArticlePHOTOS - World's Most Beautiful Wedding Reception Decor
I have never seen this stuff, i bet you will dream of having it on your wedding Photo by “Love Song Photo”BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleACT- Wazalendo:"Lolote litalompata Zitto Polisi watajibu"
Baad ya kuzuiwa kufanyika kwa Kongamano lao walilopanga kulifanya leo katika ukumbi wa Millenium Tower Jijini Dar es Salaam, Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa hii kwa umma kuhusiana na...
View ArticleWanafunzi Wafundishana Wenyewe Shule ya Kwedichocho Handeni Baada ya Walimu...
Wakazi wa kijiji cha Manga kilichopo kata ya Mkata wilayani Handeni wameiomba serikali kuingilia kati kufuatia walimu wawili wa shule ya msingi Kwedichocho kuacha kazi tangu mwishoni mwa jana na...
View Article