WAIGIZAJI WALIOINGIAZA PESA NYINGI ZAIDI DUNIANI MWAKA HUU 2016
1. Jerry Seinfeld – Net worth: $820 millionJerry ni mwigizaji wa filamu nyingi za vichekesho zinazouza zaidi kutokana na kupendwa na watu wote kwenye familia.2. Shah Rukh Khan – Net worth: $600...
View ArticleMC DR CHENI ALIHUSIKA VILIVYO KATIKA SHEREHE HII.JIONEE MWENYEWE
bi harusi mtarajiwa maharusi wetu watarajiwa mc dr cheni na bi harusi mtarajiwaFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo:...
View ArticleHongereni Sana Mr and Mrs Raymond
Hongera Mr and Mrs RaymondFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Wageni full kukabana
View ArticleMakamu wa Rais akagua mradi wa mabasi ya mwendo kasi na kugawa futari kwa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ndani ya moja ya mabasi ya mradi wa mabasi ya mwendo kasi ya UDA-RT jijini Dar es salaam ambayo kwa kiasi kikubwa...
View ArticleWatu 50 Wauawa Baada ya mtu Mmoja Kushambulia klabu Huko Marekani
Raia wa Marekani, Omar Mateen, 29, ameishambulia kwa bunduki klabu ya mashoga iliyopo Orlando nchini Marekani.Mateen, anayetokea Port St. Lucie Florida, ameua takriban watu 50 na kujeruhi wengine 53 na...
View ArticleWanasayansi: Mugabe ana Vinasaba vya Kuishi Milele
WANASAYANSI maarufu kutoka Taasisi moja kubwa ya Sayansi nchini Uingereza wametoa ripoti ya utafiti walioufanya ikithibitisha kwamba, Rais wa Zimbabwe, Komrade Robert Mugabe amegundulika kuwa na...
View ArticlePolisi Wasiowapigia Saluti Wabunge Kukatwa Mshahara
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Fakharia Khamis amehoji bungeni adhabu gani askari anapewa ikiwa atashindwa kutoa saluti kwa mbunge. Katika swali la nyongeza mbunge huyo alitaka kujua maana ya saluti kwa...
View ArticleJb Awashukia Wasanii Wenzake Kuhusu Hili!
JACOB Stephen ‘JB’ msanii mahiri katika tasnia ya filamu Bongo amewashukia wasanii wenzake kwa kusema kuwa wengi hawapo makini na tasnia jambo ambalo linawafanya kupoteza mapato mengi kutokana na...
View ArticleMuhogo Mchungu Alia na Mitandao
Msanii mkongwe wa maigizo nchini Muhogo Mchungu amelalamikia watumiaji wa mitandao ya kijamii hasa vijana kwa mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.Muhogo MchunguMuhogo Mchungu ameyasema hayo katika mahojiano...
View ArticleSerikali Yapiga Marufuku Uagizaji wa Transfoma za Umeme Kutoka nje ya Nchi....
Serikali imeliagiza Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) kutoagiza transfoma nje ya nchi na badala yake kutumia zinazotengenezwa hapa nchini na kampuni ya Tanalec.Agizo hilo limetolewa leo...
View ArticleWatu Hawajui Sisi Tuna Picha ya Diamond na Ali Kiba Wakiwa Wanaongea – Babu Tale
Mmoja kati ya viongozi wa juu wa label ya ‘WCB’, Babu Tale amesema watu hawajui kama Ali Kiba na Diamond wakikutana wanazungumza kama kawaida.ddAmesema hayo baada ya weekend hii kuzagaa picha katika...
View ArticlePicha: Professor Jay atembelea ‘WCB’ ya Diamond, afurahishwa na uwekezaji...
Mbunge wa Mikumi ambaye ni msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop, Joseph Haule ‘Professor Jay’ Jumatatu hii alitembelea ofisi za WCB na kujionea uwekezaji uliyofanywa na rais wa label hiyo Diamond...
View ArticleHONGERA SANA USIKU UWAKO ULIPENDEZA SANAAA
Bi harusi mtarajiwa na wapambe wake Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Bi...
View ArticleBasi la Kampuni ya Tahmeed Lateketea Kwa Moto
Basi la Abiria la Kampuni ya TAHMEED linalofanya safari zake kati ya Tanga- Dar es Salaam, limeteketea kwa moto katika barabara ya Chalinze- Segera.BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleTaarifa Ya Utekelezaji Wa Maagizo Ya Serikali Kuhusu Ukomo Wa Matumizi Ya...
1.0 UTANGULIZI1.1. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ni taasisi ya Serikali yenye dhamana ya kusimamia shughuli za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta hapa nchini. Kuwepo kwa Sheria ya Mawasiliano ya...
View ArticleMaalim Seif afunguka kuhusu Lipumba, amesema alijiuzulu mwenyewe hakulazimishwa
Katibu mkuu wa CUF Maalim Seif amejitokeza na kuongelea hatua ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Prof. LIpumba ya kuomba kurudia nafasi ya Uenyekiti.Amesema kwamba maamuzi ya CUF hufanywa kwenye...
View ArticleInasikitisha:Mume Amnyonga Mkewe Hadi Kufa Kisa Kachelewa Kurudi...
MWANAMKE mmoja aliyejulikana kwa jina la Rehema Tumbo amenyongwa hadi kufa na mumewe, Raphael Kazembe kwa kutumia khanga kisa kikuu kikidaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi.Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
View Article