CALL +255 658 194 194CALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY...
CALL +255 658 194 194 BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA).............................. 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/=...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleSimu Feki Kuzimwa Kesho Rasmi - TCRA
SIMU ziliingizwa nchini zikiwa hazina kiwango kuzimwa rasmi kesho, katika kuhakikisha kila mtu anatumia simu kiwango kwa usalama na ulinzi wa nchi.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleSimu FEKI Kuzimwa Leo.....Mafundi Wapewa ONYO Kali
IKIWA leo saa sita usiku Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inatarajia kuzima simu feki za mkononi, mafundi wa simu nchini wanatakiwa kuanza mchakato wa kupata leseni ya kutengeneza simu kutoka...
View ArticleJuni 16 kila mwaka ni siku ya Mtoto Wa Afrika, fahamu zaidi kuhusu siku hii
Leo Juni 16, 2016 ni maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika ambapo shughli na majadala mbalimbali hufanyika ikiwa na lengo la kulinda na kumuinua mtoto wa Afrika.Siku ya mtoto wa Afrika huadhimishwa...
View ArticleHuu ndio Muonekano mpya wa Chid Benz baada ya kutoka Sober house
Msanii wa Bongofleva Chid Benz usiku wa June 15 2016 alipost picha za muonekano wake mpya ikiwa ni siku chache baada ya kutoka Sober house Bagamoyo, alipokuwa amekaa kwa siku kadhaa kama njia ya...
View ArticleMsanii Ray C Apewa Msaada na Jeshi la Polisi ya Baada Kuzidisha Madawa ya...
Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C usiku wa jana alikamatwa na jeshi la polisi maeneo ya Kinondoni Manyanya almaarufu ‘Kinondoni kwa Mpemba’ jijini Dar es salaam baada ya kupiga makelele...
View ArticleMsanii wa Bongo Movie Riyama Afunga Ndoa
Msanii wa filamu Riyama Ally Alhamisi hii amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Leo Mysterio.Muigizaji huyo mahiri wa filamu ambaye ni mama wa mtoto mmoja aliyezaa mume ambaye aliaacha naye,...
View ArticleMastaa wa Bongo Movies Mashabiki wa Yanga Wafungua Tawi la Yanga
MASTAA wa Bongo Movies wanaoshabikia Timu ya Yanga wamefungua tawi rasmi kwa ajili ya kuisapoti hiyo ya Jangwani.Mike Sangu akiwa na Esha BuhetiYanga imekuwa na mashabiki wengi kila kona hapa nchini na...
View ArticleFilamu za Nje Zinatutia Njaa Jamani- Tino
NYOTA wa filamu Hisany Muya ‘Tino’ anasema kuwa sinema kutoka nje zimeua soko la ndani na kuwafanya wasanii waishi kwa shida kwani hata watengeneze kazi zenye ubora wa namna gani bado wanashindwa kuuza...
View ArticleNI NOMA : Lulu Anafikiria Kimataifa Zaidi
ELIZABETH Michael ‘Lulu’ mwigizaji wa kike mwenye nyota kali anasema kuwa hawezi kwa sasa kuonekana kwa kila filamu bila sababu kwani amejipanga kutafuta tuzo kubwa za kimataifa hivyo lazima ashiriki...
View ArticleWabunge wengine wasimamishwa kuhudhuria vikao leo June 17 2016
Leo June 17 2016 idadi ya wabunge kusimamishwa imeongezeka baada ya Naibu Sika, Tulia Ackson kutangaza kusimamishwa kwa wabunge wawili ambao ni Mbunge wa viti Maalum CHADEMA Suzan Lyimo na Anatropia...
View ArticleMkubwa Fella Atolea Ufafanuzi Tetesi za Chid Benz Kujiunga na Lebo ya...
MKURUGENZI wa kundi la Wanaume Family na Yamoto bendi, Saidi Fella maarufu Mkubwa Fella, amesema yeye na meneja wa msanii, Diamond Platnumz, Babu Tale, wameamua kumsaidia mkali wa rapu, Rashid Makwiro...
View ArticleSimu FEKI 600,000 Zazimwa.....TCRA Yaendelea Kusaka Zingine
Uzimaji wa Imei bandia ulifanyika usiku wa kuamkia jana kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) katika simu zaidi ya 600,000 zenye Imei batili. Kwa mujibu wa TCRA, Imei ni namba ya kimataifa ya...
View ArticleGwajima Atoweka, Polisi Waendelea Kumsaka Usiku na Mchana
Baada ya kuweka kambi kwa zaidi ya saa saba nyumbani kwa Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Jeshi la Polisi limesema bado linamsaka kiongozi huyo wa kiroho usiku na mchana.Juzi...
View ArticleMakonda Kupiga Marufuku Uvutaji Sigara Hadharani
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema waendesha bodaboda na abiria wasiovaa helmet watakamatwa na kushtakiwa kwa kosa la kutaka kujiua.Makonda aliyemwakilisha Makamu wa Rais kwenye futari...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
CALL +255 658 194 194 BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA).............................. 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/=...
View Article