Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428
↧

Huu ndio Muonekano mpya wa Chid Benz baada ya kutoka Sober house

$
0
0
Msanii wa Bongofleva Chid Benz usiku wa June 15 2016 alipost picha za muonekano wake mpya ikiwa ni siku chache baada ya kutoka Sober house Bagamoyo, alipokuwa amekaa kwa siku kadhaa kama njia ya kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya.

Rapper Chidi Benz amefanikiwa kuirudisha afya yake baada ya kuachana na matumizi ya Madawa ya kulevya.

Mapema mwaka huu katika kituo kimoja cha runinga Chidi Benz alikiri kutumia Madawa ya kulevya na kuomba msaada ambapo meneja Diamond na Tip Top Connection, Babu Tale akishirikiana na Kalapina walimsaidia na kumpeleka katika kituo cha Bagamoyo Sober House ambacho kilimsaidia kuachana na Matumizi ya madawa ya kulevya.

Jumatano hii katika mitandao ya kijamii kumesambaa picha mpya za rapper huyo zikimuonyesha jinsi alivyopendeza hali ambayo imewafanya mashabiki kumpongeza Tabu Tale.



Haya ni maoni ya baadhi ya mashabiki.

Sharifujuma00
Babu tale tunakushukuru sana mweyezimungu akulinde chidy kazaliwa upya kawa mtoto mchanga aendelee namsimamo huohuo wakuacha ngada

Abduly_iddy
Katik mameneja wote tz cjaon km ww @babutale mungu awe nawe nashangaa xn wanaokutuc labd hawajui umuhm wk ila umenifurahish kweny interview eeet matuc km vil wanakup juice 😂😂big up mzee


Official_thuwebseif
Wenimtu wapekee atakwamacho tu mtu akikutizama we nimtu safi watu km nyie mpo wachache allah akujalie kher na afya njema @babutale

Stambulya
Asante Babtale kutuludishia jembeletu na kuanzia sasa tunamuita Chiditele, si Chidbebenzi

Fauzinho1
May God bless you @babutale for what you did for Chidi Benz

Gendi3054

Thanks @babutale kwa hili… Mungu aendelee kukutumia na kwa wengine,,,, pls talk to ray c too.. I real believe it can work.
↧

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>