Petit Man: Sipo tena Endless Fame..lakini Sina Tatizo na Wema Sepetu.
Aliyekuwa meneja wa wasanii walikuwa kwenye kampuni ya Endless Fame chini ya Wema Sepetu,PetitMan amesema kuwa kwa sasa hayupo tena kwenye kampuni hiyo kutokana na matatizo ya kifamilia lakini hata...
View ArticleBreaking News: Jeshi la Polisi Lawatawanya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Dodoma...
Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma limesambaratisha wanafunzi wa vyuo vikuu wanachama wa Chadema ( Chadema Students Organization -CHASO ) waliokuwa wakishiriki hafla ya mahafali katika Ukumbi wa...
View ArticleShilole Alia Wasanii Wenzake Kumdhalilisha
Msanii wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameonesha masikitiko yake kufuatia madai ya kudhalilishwa na baadhi ya wasanii wenzake kwa kuipa promo video ya wimbo mpya wa zilipendwa...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleRay C apelekwa sober house Bagamoyo, uongozi wa sober wazungumzia
Muimbaji mkongwe wa muziki nchini, Rehema Chalamila ‘Ray C’ Ijumaa hii amepelekwa Life and Hope & Rehabilitation Centre (Sober House) iliyopo Bagamoyo kwa ajili ya kusaidiwa kuanacha na matumizi ya...
View ArticleSIMU FEKI ZAPATA SOKO
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter>>>@millardayo na Zote...
View ArticleTazama jinsi Mawaziri wa Sudan Kusini Wanavyovyaa
Kulia ni Waziri wa Kilimo na Umwagiliaji huko Sudan Kusini bwana MABIOR GARANG (aliyevaa viatu vyeupe).Katikati ni Waziri wa Ulinzi aliyevaa kandambili na utepe mwekundu begani,Kushoto ni Waziri wa...
View ArticleMakamu wa Rais: Wanafunzi wa Vyuo Wanaongoza Kwa Kujiuza Miili yao
Akiongea katika harambee ya kuchangia ujenzi wa bweni la wasichana chuo kikuu cha Mzumbe amesema wanafunzi wa kike wanaosoma vyuo vikuu wanaongoza kwa tabia ya kujiuza miili yao, na kujipanga foleni...
View ArticleJAMBAZI AUAWA AKIWA NA BUNDUKI AINA YA AK 47 HUKO TANGA
JAMBAZI AUAWA AKIWA NA BUNDUKI AINA YA AK 47 HUKO TANGAPosted by Williammalecela.com on Sunday, June 19, 2016Kamanda wa Polisi mkoani Tanga Kamishna msaidizi wa polisi Leonard Paul amesema Jeshi la...
View ArticleUwoya Azipa Kisogo Filamu
MREMBO aliyejulikana zaidi kwenye Tasnia ya Filamu Bongo kupitia Filamu ya Oprah aliyofanya na marehemu Steven Kanumba ‘The Great’ pamoja na Vincent Kigosi ‘Ray’, Irene Uwoya amefunguka kuwa kwa sasa...
View ArticleYANGA Yashindwa Kutamba Kwa Waarabu..Yapokea Kichapo Bila Ubishi.....
Mabingwa wa soka la Tanzania bara Yanga SC wameanza vibaya kampeni zao za kuwania kombe la Shirikisho Afrika baada ya kupoteza mchezo wao wa kwanza kwa bao 1-0 dhidi ya MO Bejaia ukiwa ni chezo wa...
View ArticleBreaking Newzz:Wabunge Wa Upinzani Watinga Bungeni Huku Wameziba Midomo Yao...
Wabunge wa Kambi ya Upinzani Bungeni leo wametumia mtindo mpya kueleza hisia zao baada ya kuamua kutoka kwenye ukumbi wa Bunge wakiwa wamejifunika midomo kwa karatasi.Hii ni wiki ya pili mfululizo...
View ArticleInasikitisha:Mtoto Mdogo wa Miaka 3 Abakwa na Baba yake Mzazi
Jeshi la polisi wilayani Kishapu, mkoani Shinyanga linamshikiria mtu moja Ngasa Sakwa mwenye umri wa miaka 23 mkazi wa kitongoji cha lukelege, kijiji cha Masagala, kata ya Maganzo, wilayani humo, kwa...
View ArticleVIDEO: Ronaldo Alivyowazuia Askari Kumkamata Shabiki Aliyetaka Kupiga Selfie...
Licha ya machungu ya kushindwa kupata ushindi kwenye mchezo wa Ureno vs Austria, superstar wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo aliwazuia walinzi wa uwanja waliokuwa wanataka...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
CALL +255 658 194 194 BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA).............................. 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/=...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View Article