Bajeti Kuu Ya Serikali 2016/2017 Yapitishwa Bungeni Kwa Asilimia...
Serikali ya Tanzania imepitisha bajeti ya shilingi trilion 29.5 kwa kupigiwa kura huku wabunge wa upinzani wakiwa wametoka nje wakiwa wameziba midomo yao kwa karatasi na plasta ikiwa ni ishara ya...
View ArticleJWTZ Yakanusha Taarifa za Kuibwa Kwa Kifaru
Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) limekanusha taarifa za kuibiwa kwa kifaru cha jeshi zilizoripotiwa leo na gazeti la Dira na kusema kuwa taarifa hizo hazina ukweli wowowte huku likisisitiza...
View ArticleKesi ya Mauaji ya Mwanahabari, Daud Mwangosi Kuendelea Leo
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa, jana iliahirisha kesi ya mauaji ya mwanahabari, Daud Mwangosi inayomkabili askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia Mkoa wa Iringa (FFU), Pasificus Simon hadi leo. Kesi hiyo...
View ArticleAUDIO: Wananchi Wamempeleka Polisi Mama wa Mtoto Kisa Mtoto ni Mwarabu
June 20 2016 Geah Habib kupitia Hekaheka ya Clouds FM ametuletea Hekaheka kutokea Buguruni Dar es salam ambapo mama amepelekwa polisi na wananchi kisa mtoto anayedaiwa kuwa ni wa kwake ni...
View ArticleMgombea Urais wa Marekani Donald Trump Anusurika Kuuwawa
Mwanamume mmoja raia wa Uingereza anayetuhumiwa kwa kupora bunduki ya afisa mmoja wa polisi katika mkutano wa kisaiasa wa Donald Trump, BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleMahakama yamgomea Mbowe...Yatupilia Mbali Kesi Yao Ya Kupinga Zuio La Polisi
KESI ya madai iliofunguliwa na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kuiomba mahakama kupiga marufuku zuio la Polisi, leo limetupiliwa mbali. Mbowe...
View ArticleMTANZANIA MPENDA SELFIE ASHTAKIWA KWA KUMTHALILISHA MHUDUMU WA NDEGE
Raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 42 anashikiliwa na Mahakama Kuu ya makosa ya jinai ya jiji la Dubai, Falme za Kiarabu kwa tuhuma za kumdhalilisha mhudumu wa kike wa Shirika la Ndege la...
View ArticleHONGERENI SANA HARUSI YENU ILINOGAA SANAA
Maharusi wakiingia ukumbini Mmenogaa sana maharusi Mungu awe nanyi ktk ndoa yenu Mkuu wa wilaya Temeke ndio mwenyekiti wa kamati Mc Dr Cheni kazini akihakikisha kila kitu kinaenda sawaFor Booking...
View ArticleSERIKALI YAPOKEA MSAADA WA MADAWATI 300 TOKA UBALOZI WA KUWAIT NCHINI TANZANIA.
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jaseem Al Najem akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akikabdhi msaada wa madawati kwa Waziri wa Mambo ya Njena Ushirikiano wa Afrika...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
CALL +255 658 194 194 BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA).............................. 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/=...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleFAHAMU MAANA YA BRAND NA NAMNA UNAVYOWEZA KUJI-BRAND
Na Lewis Mbonde +255 658 194194Kama unataka kuanzisha biashara, au umekwisha anzisha, basi hii mada inakuhusu. Na hata unataka kuajiriwa au unatafuta kazi bora zaidi uliyonayo, ni jambo la msingi...
View ArticleJamaa Avamiwa na Nyoka Chumbani Kwake Akiwa Amelala
Nyoka mkubwa ambaye alikuwa akiishi katika dari ya nyumba moja nchini Australia kwa takriban miaka 10 sasa ameamua kuingia katika chumba cha kulala.Mwenye nyumba hiyo Trina Hibberd kutoka eneo la...
View ArticleMwanamuziki Yound Dee Akiri Kutumia Madawa ya Kulevya Baada ya Kukana Kwa...
Rapper Young Dee hatimaye amethibitisha tetesi za miaka mingi kuhusu utumiaji wa madawa ya kulevya na kukiri kuwa ametumia kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu.“Sina mtu ambaye ninaweza kumlaumu, lakini...
View ArticleUsiku wa Mery Ulinogaa Sana chini ya MC DR CHENI ukumbi wa rivesidehall tar....
Bi harusi mtarajiwa Mery na Mc wa sendoff yake Mc Dr Chenibi harusi mtarajiwa Mery akiingia ukumbini na mpambe wakeFully shangwee bi harusi mtarajiwa akiingia ukumbini na mpambe wakeMuda wa sara bi...
View ArticleRais Magufuli Awaonya Wanasiasa Wanaomchelewesha Kufanya Kazi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli amewaonya wanasiasa wanaomchelewesha kufanya kazi ya kuwatumikia Watanzania.Rais Magufuli ameyasema hayo muda mfupi uliopita baada ya kupokea...
View ArticleLinah adai kuibiwa kwa akaunti yake ya Instagram kumemwathiri ‘nahisi mpaka...
Baada ya msanii wa Bongo Flava, Linah Sanga kupoteza akaunti yake ya Instagram yenye zaidi ya followers milioni 1.3, pamekuwepo na maneno mengi. Wapo wanaosema kuwa Linah ameiuza na kufungua nyingine...
View Article