Haya Ndiyo Mafanikio ya Rais Magufuli Katika Kipindi cha Miezi 8 iliyopita
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITAREHE 23/06/2016UTAFITI MIEZI 8 TOKA MHE RAIS JOHN MAGUFULI AMECHAGULIWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIANdugu waandishi wa habari habari za leo na pole kwa...
View ArticleBreaking News: Orodha Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Na...
OR-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2016. BONYEZA HAPA KUYAONA
View ArticleChid Benz Atoa ya Moyoni Aeleza Sababu Iliyomfanya Aingie Kwenye Matumizi ya...
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Chidi Benz amefunguka na kueleza jinsi wadau wa muziki nchini wanavyosababisha wasanii wa muziki kuingia kwenye matumizi ya Madawa ya kulevya.Rapper huyo ambaye ameachana...
View ArticleBawa Kubwa la Ndege Laokotwa Kisiwani Pemba..Wataalamu Waanza Kulichunguza...
Bawa kubwa la ndege limeokotwa na wananchi jana katika Bahari ya Hindi kwenye Kisiwa cha Kojani, Pemba. Haijafahamika ni la ndege ya shirika gani.Sehemu ambayo inaaminika ni mabaki ya ndege imevuliwa...
View ArticleMagazeti ya Tanzania na Nje Leo Juni 25,2016-Yamo ya Udaku,Michezo na Hard News
MAGAZETI YA TANZANIA Magazeti ya nje ya Tanzania
View ArticleMafisadi sasa Kufilisiwa, Kutupwa Jela Miaka 30
BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, jana lilipitisha kwa kauli moja Sheria ya Marekebisho Mbalimbali, ambayo pamoja na mambo mengine, yamempa Jaji Mkuu mamlaka ya kuanzisha Divisheni ya Rushwa na...
View ArticleVIDEO: CCTV za Bunge zilivyonasa Tukio Zima la Goodluck Kuvuliwa ‘Baraghashia’
Ikiwa ni siku tatu zimepita tangu mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga kusimama bungeni na kuomba mwongozo wa spika kuhusu kitendo cha kuvuliwa kofia ‘baraghashia’ na mbunge wa viti maalum CHADEMA...
View ArticleProf. Makame Mbarawa Amteua Mhandisi Deusdedit Conatus Vitalis Kakoko kuwa...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIYAH: UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YABANDARI TANZANIA (TPA)Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Prof. Makame M. Mbarawa, leo tarehe 25 Juni, 2016 amemteua...
View ArticleTazama Masanja Mkandamizaji Akiwa Shambani
Msanii wa vichekesho wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji ‘street pastor’ ameweka picha kadhaa mtandaoni kuonyesha jinsi anavyowajibika akiwa shambani kwake. Zicheki Hapa
View ArticleRais Magufuli Afanya mabadiliko madogo katika safu ya wakuu wa mikoa na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Juni, 2016 amefanya mabadiliko madogo katika safu ya wakuu wa mikoa na amewateua wakuu wa wilaya 139.BONYEZA HAPA KUYAONA...
View ArticleMKUBWA NA WANAWE WATOA MSAADA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA TEMEKE
Kituo cha kuvumbua na kuendeleza vipaji vya muziki cha Mkubwa na Wanawe, kimetoa msaada ya vifaa vya tiba na vifaa mbalimbali vikiwe vile vya usafi, dawa za meno, sabuni, maji na juisi kwa wodi ya...
View ArticleRais Magufuli Atengua Uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Magesa Mulongo
Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Magesa Mulongo kuanzia jana. Taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa ikimnukuu Katibu Mkuu Kiongozi,...
View ArticleRais Magufuli Alitaka Baraza Kuu la Waislamu Tanzania- BAKWATA Liombee Taifa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dakta JOHN MAGUFULI amewahimiza viongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania- BAKWATA- waendelee kuombea amani katika taifa na kukemea ipasavyo vitendo vya...
View ArticleJuhudi za Richard Kasesela Zambakiza Ukuu wa Wilaya...Aandika Ujumbe Huu...
Richard Kasesela ni kati ya Wakuu wa wilaya 39 ambao wamebakia katika nafasi zao katika kazi ya ukuu wa Wilaya baada ya Jana Magufuli kutangaza wakuu wa Wilaya wapya..Baada ya Kutangazwa Wakuu wa...
View ArticleDude Alia na Hili Bongo Muvi
Muongozaji na mwigizaji mahiri wa filamu, Kulwa Kikumba ‘Dude’ anasema kuwa ili tasnia ya filamu isonge mbele lazima wasanii na wadau wote washikane na kuwa kitu kimoja ndio maslahi ya kweli yataoneka...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
CALL +255 658 194 194 BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA).............................. 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/=...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleAliyeondolewa Ukuu wa wilaya Lushoto ajitetea,adai hakubebwa.
Siku moja baada ya Rais John Pombe Magufuli kutangaza upya nafasi za wakuu wapya wa wilaya nchini, aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Lushoto mwenye umri mdogo kuliko wenzake ambaye jina lake limeondolewa...
View Article