Kamanda Sirro: Bado Tunamtafuta Sana Askofu Gwajima, Tumetumia Polisi wa...
Kamanda wa polisi jiji la Dar Simon Sirro amesema bado wanamtafuta sana askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Josephat Gwajima na wametumia mtandao wa polisi wa kimataifa Interpol lakini bado hawajapata...
View ArticleYANGA Yapata Kichapo Kutoka Kwa TP Mazembe
June 28 2016 klabu ya Dar es Salaam Young Africans ilirejea katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam ambao ndio uwanja inaoutumia kama uwanja wake wa nyumbani kucheza mechi yake ya pili hatua ya nane bora...
View ArticleSerikali Yakanusha Kupima Ukimwi Nyumba Kwa Nyumba
Kumekuwepo na taarifa mbalimbali zinazozagaa kwenye mitandao ya kijamii zinazotokana na habari iliyoandikwa na kuchapishwa kwenye gazeti la Jambo leo la tarehe 24 Juni, 2016, toleo namba 2482 yenye...
View ArticleAlichokiandika Rais Magufuli kuhusu ugunduzi wa gesi ya Helium nchini Tanzania
Jana ziliripotiwa taarifa kuwa watafiti kutoka chuo kikuu cha Oxford na kile cha Durham kwa ushirikiano na wataalamu wa madini kutoka Norway wamegundua uwepo wa takriban futi bilioni 54 za hifadhi...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA WAKUU WA WATATU WA MIKOA NA KUZUNGUMZA NA WAKUU...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Juni, 2016 amewaapisha wakuu wa Mikoa watatu aliowateua Jumapili iliyopita tarehe 26 Juni, 2016. Wakuu wa Mikoa...
View ArticleRais Magufuli amtania hivi Godwin Gondwe alipowaapisha wakuu wapya wa wilaya
Rais Dkt John Pombe Magufuli leo amewaapisha wakuu wapya wa wilaya 139 na wakuu wa mikoa wanne kwenye hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam.Rais Magufuli akiwa na baadhi ya wakuu wa wilaya...
View ArticleMtoto Auawa kwa Kupigwa fimbo na Baba wa Kambo
Mwanafunzi wa chekechea shule ya msingi Ilunga amefariki dunia baada ya kupigwa fimbo na baba yake wa kambo wilayani Magu mkoani Mwanza.Taarifa ya jeshi la polisi imeeleza kuwa mnamo tarehe 27.06.2016...
View ArticleRais Magufuli Amtumbua Mtu Aliyekuwa Akiiba Milioni 7 Kila Dakika Kwa...
RAIS Dk. John Magufuli amemtumbua mfanyabiashara mmoja maarufu Dar es Salaam, aliyebainika kufanya miamala ya fedha ya Sh milioni saba hadi nane kwa kila baada ya dakika moja.BONYEZA HAPA
View ArticleMilioni 800 Kukusanywa na Mgodi wa Dhahabu Geita na TACAIDS Kuwasaidia...
ZAIDI ya Sh milioni 800 zinatarajiwa kukusanywa na Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) kwa kushirikiana na Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) kwa ajili ya kusaidia waathirika wa Virusi Vya Ukimwi...
View ArticleWema Afungukia Ugomvi Wake na Aunt
STAA wa filamu Bongo, Wema Sepetu amefungukia ugomvi ambao hutokea mara kwa mara na shosti wake ambaye pia ni muigizaji, Aunt Ezekiel usiingiliwe na mtu kwani wanapogombana tofauti zao wanazimaliza...
View ArticleJerry Muro Aitwa Kamati ya Maadili TFF....Kisa Hichi Hapa
MKUU wa kitengo cha habari na Mawasiliano wa Yanha Jerry Muro ameitwa kwenye kikao cha kamati ya maadili cha Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFF kufuatia kitendo chake cha kupingana na kuishambulia...
View ArticleKodi ya Miamala ya Tigopesa, M-Pesa, Benki na Airtel Money kuanza Kutozwa...
Leo ndiyo mwanzo wa utekelezaji wa Sheria Fedha (Finance Act, 2016) iliyopitishwa katika Bajeti ya 2016/17 ambapo Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) itatozwa katika huduma za mitandao ya simu, benki na...
View ArticleMahakamani Kisutu: Watatu Mikononi Mwa Polisi Kwa Kubeba Mabango ya...
Jana wafuasi wa UKAWA walitiwa mbaroni baada ya kutoke mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe wa kumkashifu Mtukufu Mkuu sana, Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya...
View ArticleWaziri Mkuu Awataka Wanufaika wa Mikopo ya Elimu Juu Kurejesha mikopo...
Wanufaika wa Mikopo ya Elimu ya Juu ambao tayari wapo katika ajira wametakiwa kurejesha marejesho ya mikopo waliyopewa kutokana na mfuko wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kutegemea fedha hizo...
View ArticleKosa Moja Linaposahaulisha Mazuri 100 Uliyoyafanya – Mkasa wa Zamaradi na Shoga
Jumanne hii kwenye kipindi chake cha Take One, alirusha mahojiano na mwanaume anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja, tena aliyekubuhu na ambaye maisha hayo kwake ameyakubali na anayafurahia. Hicho...
View Article"Mc ni vizuri kusikiliza wateja wako kwa umakini sana nini wanataka" Mc Dr Cheni
Mc Dr Cheni akipata maelekezo kutoka kwa mteja wake
View Article