RC Makonda Apiga "STOP" Ushoga,Utumiaji wa Sheesha na Kuvuta Sigara Hadharani
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amepiga marufuku vitu vitatu kutoonekana katika mkoa wa Dar es Salaam.Akizungumza kwenye kongamano la Dini lililofanyika jana katika uwanja wa Taifa...
View ArticleMwarobaini Wizi wa Bodaboda Wapatikana....VETA Wabuni Kifaa Cha Kudhibiti...
MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta), imebuni kifaa cha kudhibiti wizi wa magari na pikipiki za abiria maarufu bodaboda, kwa kutumia simu.Kwa kutumia kifaa hicho, dereva atakuwa na uwezo...
View ArticlePICHA MASTAA WALIOODHURIA SHINDANO LA KUSOMA QURAN DAR
Ni July 3, 2016 ambapo watu mashuhuri mbalimbali walikutana kwenye shindano la usomaji wa Quran ambapo tukio hilo lilihudhuriwa na mgeni rasmi Mbunge wa Chalinze, Mh.Ridhiwani Kikwete huku wakiwemo...
View ArticlePICHA NYINGINE ZA HARUSI YA EMMANUEL KILEWO ILINOGA SANAA CHINI YA MC DR CHENI
 Mc Dr cheni nikiwajibika ipasavyo Hapa nikiendelea kufanya yanguMc Dr Cheni akitabasamu Maharusi wakiwa ktk nyuso za furaha Mc Dr Cheni nisimamia show mwanzo mwisho kuhakikisha wageni  waalikwa...
View ArticleDC Gondwe rasmi ofisini kwake
Mtangazaji mkongwe Godwin Gondwe ni miongoni mwa wakuu wa Wilaya wapya walioteuliwa na Rais Magufuli ambaye mwishoni mwa wiki alikuwa ni miongoni mwa wakuu wa wilaya wapya nane wa wilaya za mkoa wa...
View ArticleAmuua mkewe kwa kumpiga na mti
Na Igenga Mtatiro, UWAZIMARA: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Tarime na Rorya mkoani hapa, linamshikilia Hamis Nyamasinda, mkazi wa Kitongoji cha Ramboni, Kijiji cha Nyangoto, Nyamongo wilayani Tarime...
View ArticleDiamond ajibu kwanini kuna picha ya Alikiba kwenye ofisi za WCB
Diamond Platnumz amefunguka kuhusiana na picha ya Alikiba iliyowekwa katika ofisi za WCB.Akiongea na mtangazaji wa Clouds FM, Perfect Crispin katika Perfecto TV, amesema:“Unajua ofisi ya WCB sio ya...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni        TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleKESHO NI SIKUKUU YA IDD ( EID UL FITR)
Kwa kipindi cha mwezi sasa waislamu walikuwa katika mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani wakitimiza ibada ya nguzo za uislamu ambayo ni Kufunga. Baadhi ya waislamu kutoka mataifa mbali mbali wakiwepo...
View ArticleBASATA Yapiga Marufuku Disco Toto kwenye sikukuu ya Eid
Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA, limesisitizia tena katazo lake dhidi ya disco toto kwenye sikukuu.“BASATA linawakumbusha wamiliki wote wa kumbi za burudani kwamba ni marufuku kukusanya watoto katika...
View ArticleMbwembwe za Madereva Barabarani zaua Mume, Mke na Mtoto
Ni kawaida kwa madereva wa mabasi ya kampuni moja kufanya mbwembwe wakati wanapokutana njiani kutoka mikoa tofauti, lakini za madereva wa City Boys hazikuwa kwenye mahesabu mazuri.Wako madereva...
View ArticleRAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA WAKURUGENZI 185 WA HALMASHAURI ZA MAJIJI,...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo July 07 2016 amefanya uteuzi wa wakurugenzi wa halmashauri za majiji 5, Manispaa 21, Miji 22 na Wilaya (DC) 137 za Tanzania...
View Article