Mc Dr Cheni akitabasamu
Mc Dr Cheni nisimamia show mwanzo mwisho kuhakikisha wageni waalikwa wanafurahi
Bi harusi akicheza muziki
Wageni waalikwa ktkt pozi
Kwetu ni burudani tu mwanzo mwisho hata kama ulilala fofo lazima uamke kucheza muziki
Hapa nilishindwa kujizuia nikawa nacheza muziki
Picha ya juu na chini bi harusi akicheza muziki na wageni waalikwa
Wageni waalikwa wakicheza muziki
Wageni waakwa walinogaaa wakifuatilia burudani
Bi harusi akicheza muziki
Mgeni mualikwa akifuatilia burudani
Bi harusi akicheza muziki
Mc Dr Cheni nikitabasamu
Wageni waalikwa wakicheza muziki wakiwa kwenye viti vyao