Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

PICHA MASTAA WALIOODHURIA SHINDANO LA KUSOMA QURAN DAR

$
0
0

.
Ni July 3, 2016 ambapo watu mashuhuri mbalimbali walikutana kwenye shindano la usomaji wa Quran ambapo tukio hilo lilihudhuriwa na mgeni rasmi Mbunge wa Chalinze, Mh.Ridhiwani Kikwete huku wakiwemo wasanii mbalimbali, Madee, Dogo Janja, Meneja Babu Tale, Shamsa Ford, Mwasiti na wengineo.
.
Lengo la kufanyika kwa shindano hilo ni kuhamasisha watoto kujali swala na usomaji Quran, hapa nimekusogezea baadhi ya picha kutoka kwenye eneo la tukio .
Ni July 3, 2016 ambapo watu mashuhuri mbalimbali walikutana kwenye shindano la usomaji wa Quran ambapo tukio hilo lilihudhuriwa na mgeni rasmi Mbunge wa Chalinze, Mh.Ridhiwani Kikwete huku wakiwemo wasanii mbalimbali, Madee, Dogo Janja, Meneja Babu Tale, Shamsa FordMwasiti na wengineo.
Lengo la kufanyika kwa shindano hilo ni kuhamasisha watoto kujali swala na usomaji Quran, hapa nimekusogezea baadhi ya picha kutoka kwenye eneo la tukio .
.
.Mtangazaji kutoka Clouds TV, Antonio Nugaz akizungumza katika kongamano hilo la kusoma Quran
.
.
.
.
.
.Msanii kutoka Bongoflevani, Madee 
.
.Meneja Babu Tale akizungumza katika kongamano hilo la kusoma Quran

.
.
.Mtangazaji  wa Power Breakfast ya Clouds FMMasoud Kipanya

.
3X6A0132
.Staa kutoka Bongoflevani, Alikiba
.
.Pichani:(Katikati)  Mgeni rasmi mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiwa na watu mbalimbali walioshiriki shindano ya kusoma Quran
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>