Serikali Yaingilia kati Sakata la Mama Aliyejifungua Watoto Watatu Muhimbili...
Mzazi aliyejifungua watoto watatu kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), lakini akazuiwa wodini kutokana na kudaiwa gharama za matibabu, jana aliruhusiwa kuondoka baada ya Waziri wa Afya, Ummy...
View ArticleMaisha ni kuwa Karibu na familia hata kama unamadhaifu ila familia kwanza...
Maisha ni kuwa Karibu na familia hata kama unamadhaifu ila familia kwanza madhaifu baadae.Ucku mwema
View ArticleSheikh Ponda Issa Ponda Ponda afurahia Magufuli kurejesha mali za Waislamu
Kiongozi wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda amempongeza Rais John Magufuli kutokana na ahadi yake ya kurejesha mali za Waislamu. Lakini Sheikh Ponda hajakubaliana na kitendo cha...
View ArticleSerikali Yazifungua Minyororo ofisi za Nimrod Mkono
Serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), jana imezifungua ofisi za Kampuni maarufu ya uwakili ya Mbunge wa Butiama, Nimrod Mkono, ikiwa ni siku chache baada ya kuzifungia kwa madai kuwa...
View ArticleNAY WA MITEGO AHOFIA KUKUMBWA NA BALAA LINGINE TENA KATIKA KAZI YAKE MPYA
Msanii Nay wa Mitego ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa ‘Saka hela’ ameonyesha wasiwasi na kuhofia wimbo wake mpya ambao utatoka siku ya Jumatatu ya tarehe 11 kufungiwa.nay wa mitego23Nay wa...
View ArticleHONGERA SANA FRIDA BROWN USIKU WAKO ULIKUA WA KIPEKEE
Hongera sana FridaFrida brown akiwa na wazazi wakeBaba na mwana wakilishana keki Mc Dr Cheni nikifanya kilichoniletaMc dr cheni na bi harusi mtarajiwa Frida Mc Dr Cheni Kazini Maombi ndio kila kitu...
View ArticleMhasibu Mkuu wa Jeshi la Polisi Asimamishwa Kazi Kwa Kosa la Kulipa Malipo Hewa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Projest Rwegasira amemsimamisha kazi Mhasibu Mkuu wa Jeshi la Frank Charles Msaki kutokana na makosa ya kufanya malipo hewa yaani kulipa...
View ArticleBodi ya Filamu Yataka Wasanii Wasaidiwe
Serikali imewataka wadau wa kazi za sanaa kuwasaidia wasanii wachanga katika kazi zao ili waweze kufanikiwa na kutangaza kazi zao kimataifa.Wito huo umetolewa na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu...
View ArticleNilipata stress baada ya kutoa nyimbo 20 mfululizo na zote zikadunda –...
Kwa msanii hakuna kinachouma kama pale anapotoa nyimbo nyingi mfululizo halafu zikaishia kutambulishwa tu redioni. Inspekta Haroun anadai kuwa alianza kufikiria biashara nyingine ya kufanya baada ya...
View ArticleWatoto Wanne wa Familia Moja Wateketea Kwa Moto Wakiwa Usingizini
HUZUNI imetanda katika wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, baada ya ajali ya moto wa kibatari kuteketeza watoto wanne wa mama mmoja, waliokuwa wamefungiwa chumbani na dada anayewalea.Ajali hiyo ilitokea...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR BLOG DESIGNING,GOOGLE ADSENSE,BLOG MODIFICATION,...
CALL +255 658 194 194 BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA) BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG) ADSENSE (BLOGGER UJIPATIE KIPATO LOGO DESIGNING...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleChristian Bella apamba show ya ‘The Black Tie’ ya Wema Sepetu, aondoka na...
Msanii wa muziki Christian Bella amefanya show ya nguvu katika show ya ‘The Black Tie’ ambayo iliandaliwa na malkia wa filamu Wema Sepetu.Steve Nyerere amwaga mapesa kwa Christian BellaShow hiyo...
View ArticlePicha: Red Carpet ya ‘The Black Tie’ ya Wema Sepetu
Usiku wa Jumamosi hii katika ukumbi wa King Solomon jijini Dar es salaam mastaa wa muziki, filamu pamoja na wadau mbalimbali walivunja makabati ya nguo kwa kuvaa nguo kali ili kuonyeshana umwamba...
View Article