Soggy : Wasanii Bongofleva Hawana Topic za Kuimba
Soggy dogUnakumbuka ile hit song kibanda cha simu???? Umeshawahi kujiuliza homeboy Soggy Dogg yuko wapi now? Jamaa amerudi kwa hasira na kudiss kuwa hakuna muziki sasa, especially Singeliiiiiii……Soggy...
View ArticleMtitu Afunguka Maprodyuza Kuwamaliza Warembo
PRODYUZA na muigizaji wa sinema Bongo, William Mtitu amefunguka kuwa maprodyuza wengi wamekuwa wakipewa lawama za kutembea na waigizaji wa kike kutokana na wao wenyewe kujirahisisha.William...
View ArticleChristian Bella atuzwa zaidi ya sh 15 milioni katika show ya ‘The Black Tie’...
Mkali wa masauti Christian Bella ameendelea kuonyesha ukongwe wake katika show ya ‘The Black Tie’ iliyofanyika Jumamosi hii katika ukumbi wa King Solomon jiji Dar es salaam.Bella akijazwa...
View ArticleVideo: Masanja Mkandamizaji amvalisha pete mchumba wake huyu
Mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi Masanja Mkandamizaji Jumapili hii amemvalisha pete mpenzi wake aitwae Monica akijiandaa safari ya kufunga pingu ya maisha.Masanja akiwa na mchumba wake aitwae...
View ArticleUjanja wangu wote siwezi kuvaa kipini puani – Barnaba
Baada ya kuendelea kushamiri kwa mtindo wa wasanii kutoboa pua na kuvaa vipini, msanii na mtayarishaji wa muziki wa ‘High Table Sound’ Barnaba Classic amedai yeye hawezi kufanya kitu ka hicho katika...
View ArticleHaya ndio mafanikio ya msanii kwa mujibu wa Professor Jay
Mbunge wa Mikumi na msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop Bongo, Joseph Haule maarufu kama Professor Jay amesema mafanikio kwa msanii siyo kumiliki mali nyingi bali ni jamii kuweza kunufaika kutokana na...
View ArticlePicha: Mapokezi ya timu ya taifa ya Ureno baada ya kushinda Kombe Euro 2016
Timu ya taifa ya Ureno imewasili Lisbon Ureno wakiwa na Kombe lao la Euro 2016 na wamepata mapokezi makubwa kutoka kwa raia wa nchi hiyo, baada ya kuwasil Ronaldo pamoja na wachezaji wenzake wa Ureno...
View ArticleWAKURUGENZI WATENDAJI WA HALMASHAURI, MIJI, MANISPAA NA MAJIJI 185 WALA VIAPO...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri, Miji, Manidpaa na Majiji 185 kabla ya hawajakula kiapo cha maadili ya viongozi...
View ArticleMH GODWIN GONDWE DC AKIWAJIBIKA KATIKA JAMII
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Godwin Gondwe akiwajibika katika kusaidia jamii...Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook
View ArticleSikumdhalilisha Lady Jaydee Kwenye Video iliyosambaa Mitandaoni – Gadner
Mtangazaji mahiri wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Gadner G Habash amekanusha kumdhalilisha aliyekuwa mke wake Lady Jaydee kupitia video ambayo ilisambaa katika mitandao ya kijamii miezi michache...
View ArticleMtv Base Walivyoisifia video Mpya ya Diamond ‘Kidogo’ na Kumuita Mfalme wa…..
Kituo cha tv cha kimataifa MTV Base kimeipa sifa kubwa video mpya ya Diamond Platnumz aliyowashirikisha P Sqaure kutoka Nigeria. Video hii ni KIDOGO.Ukiacha kuipa sifa kuwa ndio video bora kwa sasa...
View ArticleOMBAOMBA 60 WAPANDISHWA KIZIMBANI KUSOMEWA MASHTAKA JIJINI DAR
Jumla ya ombaomba sitini (60) wamekamatwa katika msako wa ombaomba unaoendelea katika jiji la Dar es Salaam.Hayo yamesemwa leo na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Grace Magembe alipokuwa...
View ArticleUwoya: Nikilala, Nikiamka Nawaza Siasa Tu
STAA mkali Bongo Muvi, Irene Uwoya amefunguka kuwa bado hajakata tamaa ya kuwa mwanasiasa japokuwa mwaka jana alishindwa lakini hiyo imempa nguvu ya kujipanga zaidi na kwamba kwa sasa akili yake yote...
View ArticleMtokeo ya kidato cha sita (ACSEE 2016), Bofya hapa
Bofya hapa kupata matokeo (ACSEE)Bofya hapa kupata matokeo (DSEE)Bofya hapa kupata matoke (GATCE)
View ArticleBOOK NOW MC DR CHENI CALL +255 754 222 201 OR +255 658 194 194
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194a Lewis MbondeTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA...
View ArticleMuhimbili wafanikiwa kuweka betri kwenye moyo wa mtoto
Na John Stephen, MNHDar es Salaam, Tanzania.Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)-Muhimbili LEO imefanya upasuaji mkubwa wa moyo kwa mtoto, Happiness John Josephat ambaye amepandikizwa peacemaker...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR BLOG DESIGNING,GOOGLE ADSENSE,BLOG MODIFICATION,...
CALL +255 658 194 194 BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA) BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG) ADSENSE (BLOGGER UJIPATIE...
View ArticleShule 25 Kunufaika na Filamu za ZIFF
MKURUGENZI wa Tamasha la Ziff, Profesa Martin Mhando, amesema kwamba baadhi ya filamu katika tamasha la mwaka huu zitatumika kwa ajili ya kufundishia.Profesa Martin Mhando“Tumeanza kujihusisha na...
View Article