USIKU WA GRACE ULINOGA SANAA CHINI YA MC DR CHENI
Mc dr cheni na bi harusi mtarajiwa Gracehongera sana Grace Kwetu ni burudani tu Mc Dr Cheni akifanya yakeWageni waalikwa walinogaa Wageni waalikwa walinogaa
View ArticleAliyeoongoza kidato cha 6 ni tunda la Shule ya Kata, aeleza alivyodharauliwa
Mwanafunzi aliyeongoza katika matokeo ya kidato cha sita yaliyotangazwa jana na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Hassan Gwaay ameonesha moja kati ya tunda bora lililodhihirisha faida ya...
View ArticleBasata Wafungia Wimbo Wa ‘Pale Kati Patamu’ Wa Ney Wa Mitego.
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia rasmi wimbo wa ‘pale kati patamu’ ulioimbwa na Msanii Ney wa Mitengo kutokana na ukiukwaji mkubwa wa maadili. Msanii huyu amekuwa na tabia na mienendo...
View ArticleWAZIRI NAPE:TUTAPAMBANA NA WALE WOTE WANAOJIHUSISHA NA WIZI WA KAZI ZA WASANII
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na Mkurugenzi wa Steps Entertainment Bw. Delish Solanki wakati akiwasili katika ukumbi wa Suncrest Cine Plex uliopo...
View ArticleYANGA NA MEDEAMA SC ZATOKA SARE 1-1 TAIFA JIONI HII
July 16 2016 ilikuwa ni zamu ya wawakilishi pekee wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa klabu ya Dar es Salaam Young Africans kucheza mchezo wao wa tatu wa Kundi A wa Kombe la shirikisho barani...
View ArticleMC Pilipili Apata Ajali Mbaya ya Gari....
MC Pilipili ametupia Picha katika Ukurasa wake wa Facebook akiwa ameandika "Nimepata Ajali mbaya ya Gari namshukuru Mungu nimetoka salama"Baada ya Mungwana Blog kuwasiliana nae akasema kuwa Alipata...
View ArticleNape: Ukinunua CD isiyo na stika, wewe ni mwizi kama wezi wengine na...
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye baada ya kufanya ziara Ijumaa hii katika maeneo ya Kariakoo kukagua na kukamata CD ambazo hazina stika ya TRA, amewataka watanzania kuacha tabia...
View ArticleGabo,Fid Q washinda tuzo za ZIFF 2016
Rapper Fareed Kubanda aka Fid Q, ameshinda tuzo ya video bora ya muziki kwenye tuzo za ZIFF 2016 zilizotolewa Jumamosi hii visiwani Zanzibar.Fid ameshinda tuzo hiyo kupitia video ya wimbo wake Walk It...
View ArticleRais Magufuli afanya uteuzi mwingine Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Longinus Kyaruzi Rutasitara kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA). Prof. Longinus Kyaruzi...
View ArticlePichaz za Usiku wa utoaji wa tuzo za ZIFF kilivyohappen Zanzibar..
Gabo mshindi wa Muigizaji bora kiume akipokea tuzo yake.Usiku wa July 16 ulikua maalum kwa ajili ya utoaji wa tuzo mbalimbali kwenye upande wa filamu na tuzo hizi zilihusu vipengele mbalimbali vikiwemo...
View ArticleIKULU IMEKANUSHA TAARIFA ZINAZOENEA MITANDAONI KUWA RAIS MAGUFULI AMEMTEUA...
Baada ya taarifa kuenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa Rais John Pombe Magufuli amemteua Jerry Murro ambaye alikuwa afisa habari wa Yanga kuwa msaidizi wa mawasiliano ya Rais Ikulu, kurugenzi ya...
View ArticleAskofu Gwajima Aibuka, Azungumzia Sakata lake Kanisani, Msaidizi wake...
KIONGOZI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima, amefunguka kwa kuelezea safari yake aliyoifanya nje ya nchi hivi karibuni, baada ya taarifa mbalimbali kudai kuwa alilikimbia Jeshi la...
View ArticleWaziri Mkuu Apiga Marufuku wanafunzi kutumia viberit na mishumaa mabwenini
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amepiga marufuku matumizi ya viberiti, mishumaa na hita za kuchemshia maji kwa wanafunzi wa bweni ili kuepusha majanga ya moto na atakayekutwa, atachukuliwa hatua...
View ArticlePicha: Professor Jay achanganya Hip Hop na Kisingeli, amshirikisha Sholo Mwamba
Msanii wa muziki wa Hip Hop na mbunge wa Mikumi, Professor Jay ameingia location wiki hii kushoot video ya wimbo wake mpya aliyomshirikisha msanii wa muziki wa kisingeli, ‘Sholo Mwamba’.Professor...
View ArticleBOOK NOW MC DR CHENI CALL +255 754 222 201 OR +255 658 194 194
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194a Lewis MbondeTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA...
View ArticlePicha:Rais Magufuli Akiwaapisha Viongozi wa Serikali na Maafisa wa Jeshi la...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Naibu Makamishna wa Polisi (DCP) na Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi (SACP) na Viongozi mbalimbali wa Serikali...
View ArticleDJ JOH wa 93.1 Marekani acheza Ngoma za Diamond!
Haya sasa naona taratibu ule ubishi wa kuwa nyimbo za Afrika hasa Tanzania hazichezwi kwenye vituo vya Radio za Marekani unaelekea kuisha!Dj Joh wa 93.1 Marekani akihojiwa na Millard Ayo amezungumzia...
View Article