Hii Hapa TOP 5 Ya Mastaa wa Soka Duniani Ambao ni Maarufu Sana Mitandaoni...
Mara nyingi imezoeleka wachezaji kupata umaarufu kutokana na kazi zao nzuri wanazofanya uwanjani na sio vinginevyo, Julai 19,2016,nimekutana na Top 5 ya mastaa wa soka ambao ni maarufu sana mitandaoni...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY TO ME DR CHENI
drchenitzHappy birthday to me!!!!! Asante mungu wangu Asante familia Asante washabiki wangu wotteee Asante Wateja wangu woteee Asante wanaonipenda Asante wasio nipenda huwezi pendwa Na wotee Kubwa...
View ArticleSerikali Yaamua Kuwarudisha Wanafunzi 382 kati ya 7805 Waliofukuzwa Chuo...
May 28 2016 Serikali iliwarejesha nyumbani wanafunzi 7,805 waliokuwa wanasoma Stashahada Maalum ya Ualimu wa Sayansi na Hisabati Chuo Kikuu Dodoma. Wanafunzi waliosimamishwa masomo walikuwa...
View ArticleMzee Majuto adai filamu yake ijayo ni zaidi ya zilizopita
Msanii wa filamu za kuchekesha Bongo, King Majuto amesema kuwa filamu yake mpya ijayo ni zaidi ya filamu zake zilizopita.Akiongea na Times FM, “Hii ina ujumbe wa kuelimisha jamii kuachana na mambo...
View ArticleChameleone asema hana tatizo na Diamond
Msanii mkongwe wa muziki kutoka nchini Uganda, Jose Chameleone amefunguka kwa kusema kuwa hana tatizo na hit maker wa wimbo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz.Mitandao ya kijamii ilidai wawili hao hawakuwa...
View ArticleJokate asifia uchezaji wa Diamond kwenye ‘Kidogo’ atamani afanye ngoma na...
Diamond Platnumz anazidi kuwa karibu tena na maex wake. Jacqueline Wolper, Wema Sepetu hawana noma naye tena – na sasa Jokate Mwegelo!Ya Jokate ina nguvu zaidi kwakuwa kwa sasa ana uhusiano na hasimu...
View ArticleMAMA AKAMATWA NA MIRUNGI AIRPORT
Aziza Suleiman AllyJeshi la Polisi Viwanja vya Ndege Tanzania wakishirikiana na maafisa usalama wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), wamemtia mbaroni mama mmoja aliyetambulika kwa...
View ArticleBOOK NOW MC DR CHENI CALL +255 754 222 201 OR +255 658 194 194
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr CheniVODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194a Lewis Mbonde
View ArticleBaadhi ya waandaaji wa filamu zilizo kamatwa waanzaa kujisalisalimisha Bodi...
Baadhi ya waaandaaji wa Filamu nchini waanza kujisalimisha Bodi ya Filamu Tanzania baada ya Filamu zao kukamatwa zikiwa sokoni wakati hazijafanyiwa uhakiki na Bodi hiyo.Haya yamebainishwa na Katibu...
View ArticleBodi ya Utalii yasisitiza Mlima Kilimanjaro upo Tanzania
Bodi ya Utalii nchini imetoa taarifa kufafanua kuhusu mlima Kilimanjaro baada ya shirika moja la habari la Marekani kudaiwa kuchapisha taarifa iliyoonekana kuashiria mlima huo unapatikana Kenya.Taarifa...
View ArticleFedha za Mafunzo kwa vitendo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kutoka Bodi ya...
Na: Lilian Lundo – MAELEZOWaziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Joyce Ndalichako ameeleza kuwa fedha kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo zitatolewa mara baada ya kukamilika kwa zoezi la...
View ArticleKim Kardashian alipwa shilingi bilioni 1.5 kupiga selfie na mastaa hawa wa...
Wakati ambapo warembo wengi duniani hupiga selfie kuwafurahisha tu followers wao kwenye mitandao ya kijamii, Kim Kardashian anaingiza mkwanja mrefu.Tovuti ya Page Six imedai kuwa staa huyo mwishoni mwa...
View ArticleJoh Makini Afunguka Kuhusu Wapi Bongo Fleva Inakwenda
Msanii Joh Makini ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya wa ‘Perfect Combo’ amefunguka na kusema muziki wa bongo fleva sasa unaelekea sehemu nzuri na wale wote waliokuwa wanafanya ujanja...
View ArticleDaktari FEKI adaiwa kuua mgonjwa Singida Baada ya Kumfanyia Upasuaji wa Tezi...
Mkazi mmoja mkoani Singida anayedaiwa kuwa daktari feki anatuhumiwa kusababisha kifo cha mgonjwa, Israel Shabani (68) baada ya kumfanyia upasuaji wa tezi dume. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida,...
View ArticleJB kufungua mwaka na filamu ‘Kalambati Lobo’ baada ya kukaa kimya toka mwaka...
Kampuni ya Jerusalem Films inayomilikiwa na msanii wa filamu Jacob Stephen ‘JB’ baada ya kufanya poa na filamu yake ‘Chungu Cha Tatu’ iliyoachiwa mwisho wa mwaka jana, inajipanga kuachia filamu yake...
View ArticleMSANII WA BONGO MOVIE AKIRI HAKUNA ALICHOVUNA,AELEZA MENGI MAZITO
Msanii Yusuph Mlela ‘Angelo’Stori: Imelda MtemaHUKU kukiwa na madai ya kuporomoka kwa soko la filamu nchini, muigizaji mahiri Yusuf Mlela amekiri kuwa licha ya kufanya kazi nyingi, lakini hakuna...
View Article