Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Browsing all 2428 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL +255 658 194 194 FOR LEWIS MBONDE IT & BUSINESS CONSULTANCY BLOG...

                           CALL +255 658 194 194                 BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)             BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)                 ADSENSE (BLOGGER UJIPATIE KIPATO)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BOOK NOW MC DR CHENI CALL +255 754 222 201 OR +255 658 194 194

Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr CheniVODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194a Lewis Mbonde

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hizi Hapa Siri Kumi za Maisha ya Ndoa Kama Unataka Ndoa yako iwe na Amani

10 SECRET OF MARRIAGE LIFE1. *EVERYONE YOU MARRY HAS A WEAKNESS* Only God has no weakness, Every rose flower has its own thorn2. *EVERY ONE YOU MARRY HAS A DARK HISTORY*No one is an angel, avoid...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanafunzi Wote Walio Vyuo Vikuu Wasio na Sifa Kuondolewa. Vyuo Kurudisha...

Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako amesema wanafunzi wote wanaosoma vyuo vikuu wasio na sifa wataondolewa bila kujali wapo mwaka wa ngapi na hata waliopo kazini wataondolewa kwa kuwa hao ndio wanatumia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wema: Licha ya Kuniacha, Nitazaa na Idris

LICHA ya madai kuwa wapenzi wawili, Idris Sultan na Wema Sepetu wamemwagana, muigizaji huyo nyota na Miss Tanzania 2006, amesema anataka kuzaa na mshindi huyo wa Big Brother Hotshots 2014 kutokana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa kutoka Ikulu: Uamuzi wa China kuhusu ujenzi wa Reli ya kati kwa...

Benki ya Exim ya China imekubali kutoa mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani Bilioni 7.6  sawa na zaidi ya Shilingi Trilioni 16 za kitanzania kwa ajili ya kugharamia ujenzi wa mradi mkubwa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Brand New Audio Song: Komela - Dayna Nyange ft Bill Nass

Hatimaye ile kiu na hamu ya mashabiki wa Dayna Nyange imetatuliwa kwa wimbo huu mpya wa Komela. Dayna Nyange mkali wa Hit song kama Mafungu ya nyanya, fimbo ya mapenzi, Nivute kwako, I Do, Nitulize na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA NYINGINE ZA HARUSI YA MR AND MRS ERIC

 

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CCM NA RAIS MSTAAFU, DKT. KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU...

Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu, Dkt Jakaya Kikwete akifungua Mkutano wa Kamati Kuu ya CCM kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma Julai 21, 2016. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAKO VYUONI WANASA WANAFUNZI HEWA 139

WAZIRI wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako, amesema operesheni ya uhakiki wa wanafunzi hewa wanaopatiwa mikopo imeanza kuonesha mafanikio, kwani wanafunzi hewa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCU:Orodha ya Vyuo Ambavyo Havitaruhusiwa Kudahili Wanafunzi Kwa Mwaka wa...

Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imetoa orodha ya vyuo ambavyo havitaruhusiwa kudahili wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2016/17. Vyuo vilivyozuiwa kudahili ni pamoja na;1. International Medical and...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Roma Afafanua Mstari Huu, “Boss Amemganda Dangote, Ameisahau Tip Top”,...

 “Boss amemganda Dangote,ameisahau Tip Top” kutoka kwa Roma ni moja kati ya mistari inayozungumziwa sana kwa sasa huku ikidaiwa kuwa Roma amemponda Babu Tale ambaye ni mmoja wa mameneja wa Diamond na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wasifu wa Dk John Pombe Magufuli: Mgombea nafasi ya Mwenyekiti wa CCM

WASIFU WA DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULIMGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI WA CCM1.0.  MAISHA YAKENdugu John Pombe Joseph Magufuli alizaliwa Oktoba 29, mwaka 1959 katika kijiji cha Chato, Wilayani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafanyakazi India wapewa likizo kwa sababu ya filamu mpya ya mwigizaji...

Wafanyakazi wengi kusini mwa India leo wamepewa likizo kwa sababu ya filamu mpya inayoanza kuonyeshwa kwenye kumbi za sinema leo.Filamu hiyo ni ya mwigizaji nyota wa asili ya Tamil, Rajinikanth.Hatua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mchekeshaji Ismail Issa Mapembe (Mjomba Kundambanda) afariki dunia

Mchekeshaji Ismail Issa Makombe ‘Kundambanda’ amefariki dunia usiku wa kuamkia Ijumaa hii baada ya kusumbuliwa na matatizo ya tumbo kwa muda mrefu.Mwigizaji huyo ambaye pia aligombea ubunge katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chidi Benz afunguka mazito adai Joh Makini na Nay wa Mitego ni wasanii...

Rapper Chidi Benz amefunguka kwa kusema kuwa hakuna msanii wa Hip Hop ambaye amefikia mafanikio yake huku akidai Joh Makini na Nay wa Mitego wametengenezwa ili waje kulishika game la muziki.Akiongea na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jmos njema woteeeeee

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO: Maelezo ya DK 4, ndugu aelezea dakika za mwisho kabla ya Kundambanda...

Leo July 22 2016 taarifa za kifo cha msanii wa filamu za Comedy Ismail Issa Makombe ambaye wengi tunamfahamu kwa jina la ‘Kundambanda’ zimeanza kuenea, taarifa rasmi kutoka kwa ndugu wa karibu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAR: Askari wa Usalama barabarani (Trafiki) auawa kwa kupigwa risasi

Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Sajenti Mensah wa Kituo cha Polisi Oysterbay ameuawa usiku huu kwa kupigwa risasi akiwa kazini eneo la Sayansi Kijitonyama jijini Dar es Salaam.Kamanda wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Man United yapewa kipigo cha kwanza chini Mourinho..Mwenye Atatea Timu yake

Jose Mourinho amesisitiza kwamba hawezi kujaji wachezaji wake wa Manchester United kutokana na kipigo cha mabao 4-1 walichokipata kutoka kwa  Borussia Dortmund na kusema kwamba: “Injini ilikuwepo...

View Article
Browsing all 2428 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>