Hongera Sana helieth Anna
 Hongera helieth Anna  Mc nikiwajibika  Bi harusi mtarajiwa akiwa ktk uso wa furahaaa Mama wa Biharusi akimkabidhi gari kwa niaba ya familia Mama mkubwa akifurahia Rafiki wa karibu wa Biharusi kutoka...
View ArticleRAIS DK. MAGUFULI ACHAGULIWA KWA KISHINDO KUWA MWENYEKITI MPYA WA CCM LEO...
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Jakaya Kikwete akimkabidhi moja ya vitendea kazi, Mwenyekiti mpya wa CCM, Rais Dk. John Magufuli baada ua Wajumbe wa mkutano Mkuu wa CCM, kumpitisha asilimia kwa mia ya...
View ArticleWasanii Wamlilia Kikwete Walipokuwa Wakimuaga Kwa Kustaafu Uwenyekiti Wa...
Wasanii wa Bongo Movie na muziki wa kizazi kimpya wamesema watamkumbuka sana Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Jakaya Kikwete kwa msaada aliyowapatia kipiti cha utawala wake akiwa Rais na Mwenyekiti wa chama...
View ArticleDiamond na Swizz Beatz wakutana na kuzungumza New York
Swizz Beatz ni supastaa wa Marekani aliye mstari wa mbele kuwapa support wasanii wa Afrika. Producer huyo mkongwe, amewahi kupost video akifurahia nyimbo za wasanii wachache wa bara hili akiwemo...
View ArticleMo Dewji kugawa nusu ya mali zake kwa Watu Masikini
MKURUGENZI Mtendaji wa makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL Group), Mohammed Dewji, ameungana na matajiri wakubwa duniani, kutangaza azma ya kugawa nusu ya mali zake kusaidia...
View ArticleMAFANIKIO YA RAIS MAGUFULI KATIKA KIPINDI CHA MIEZI 8 ILIYOPITA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITAREHE 23/06/2016UTAFITIÂ MIEZI 8 TOKA MHE RAIS JOHN MAGUFULI AMECHAGULIWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIANdugu waandishi wa habari habari za leo na pole kwa...
View ArticleDiwani Akwepa Risasi sita akipambana na majambazi Moshi
Diwani wa Kata ya Kiborlon (Chadema) katika Manispaa ya Moshi, Frank Kagoma ameonyesha ujasiri wa hali ya juu alipopambana na majambazi waliokuwa na silaha za moto. Alinusurika kuuawa baada ya...
View ArticleRais Magufuli mgeni rasmi Sherehe za Mashujaa Dodoma
AMIRI Jeshi Mkuu, Rais John Magufuli atakuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Kitaifa, yatakayofanyika mjini Dodoma leo.Hiyo itakuwa ni mara ya kwanza kwa maadhimisho hayo kufanyika...
View ArticleHONGERENI SANAA MAHARUSI MC PILIPILI ALIHUSIKA VILIVYO MIMI NILIKARIBISHWA NA...
 Hongereni sana maharusiMc dr cheni na maharusiMc pili pili naye ndiye aliyeunguruma ndani ya mirado nimekuja dakika za mwishoHawa nao walikuwepo nakumbuka hawa send off Yao Na harusi zote mc nilikuwa...
View ArticleVikongwe wawili wauawa kwa tuhuma za uchawi
Vikongwe wawili mke na mumewe wa Kitongoji cha Nyag’holongo, Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, wameuawa kwa kutumia silaha za jadi na watu wasiojulikana wakituhumiwa kuwa ni wachawi.Kaimu Kamanda wa...
View ArticleSiku ya Mashujaa: Rais Magufuli asisitizia ulazima wa serikali kuhamia Dodoma
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amesisitizia kwa mara nyingine tena azma yake ya kuhakikisha kuwa makao makuu ya serikali yanahamia mkoani Dodoma.Akihutubia kwenye...
View ArticleChidi Benz adai Babutale ameshatumia zaidi ya milioni 40 kwaajili yake
Kwa Chidi Benz, Babutale ni mtu mwenye umuhimu wa aina yake na atamheshimu daima kwasababu meneja huyo wa Diamond ametumia fedha nyingi hadi sasa kwaajili yake.“Huwezi amini mpaka sasa hivi...
View ArticleZambia yakanusha kumzuia Koffi Olomide kufanya maonyesho
Baada ya kuzagaa kwa tetesi ya kuwa Koffi Olomide amekufutiwa maonyesho yake nchini Zambia kutokana na tukio la hivi karibuni la kumpiga dansa wake aitwaye Pamela, Taasisi ya Kilimo na Biashara ya...
View ArticleTaarifa kuhusu uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Iringa juu ya mauaji ya Daudi...
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Iringa imemtia hatiani askari Polisi, Pacificius Cleophace Simoni, kwa kosa la mauaji ya bila kukusudia ya mwanahabari Daudi Mwangosi yaliyotokea Septemba 2 mwaka 2012 katika...
View ArticleMamia wafurika kununua viwanja Dodoma
MAMIA ya wananchi wameanza kupeleka maombi ya viwanja katika ofisi za Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA), imeelezwa.Hali hiyo imetokea baada ya Rais Dk. John Magufuli kutangaza nia ya...
View Article