Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Diamond na Swizz Beatz wakutana na kuzungumza New York

$
0
0
Swizz Beatz ni supastaa wa Marekani aliye mstari wa mbele kuwapa support wasanii wa Afrika.
Diamond
Producer huyo mkongwe, amewahi kupost video akifurahia nyimbo za wasanii wachache wa bara hili akiwemo Diamond. Na sasa wawili hao wamekutana jijini New York, Marekani.
Staa huyo wa ‘Kidogo’ yupo nchini humo alikoenda kutumbuiza kwenye tamasha la One Africa Music na Swizz alihudhuria. Swizz alipata muda wa kwenda kusalimiana na Diamond backstage.
Kwenye video zilizowekwa Instagram na Snapchat, Diamond anaonekana akimtambulisha Swizz kwa timu yake akiwemo Babutale, Dj D-Ommy na mtangazaji wa Clouds FM, B12 ambaye baadaye alimhoji.
13734319_1835489046687847_428002561_n
Tazama video hiyo chini.




Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>