Picha ya Mtanzania anayeteswa na Mchina yampeleka Mwigulu Geita Amkamata...
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba amewasili mkoa wa Geita kwa ziara ya kikazi, kubwa ikiwa ni kufuatia taarifa za mateso na mauaji yaliyodaiwa kufanywa na raia wa China wanaomiliki...
View ArticleVideo ya Kanumba yenye maneno ya kuumiza yasambaa ‘wasipoona mchango wangu...
Wiki hii katika mitandao ya kijamii imesambaa video ya marehemu Steven Kanumba akilalamika jinsi watu walivyokuwa wakipinga jitihada zake za kuipeleka tasnia ya filamu kimataifa.Video hiyo ambayo...
View ArticleMADUKA KIBAO YA FILAMU KARIAKOO YAFUNGWA, TRA YATAKA MIKATABA YA USAMBAZAJI
Maduka mengi yanayouza filamu katika eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, yamefungwa baada ya mamlaka ya mapato Tanzania, TRA kuwataka wamiliki waoneshe mikataba ya usambazaji wa filamu hizo za...
View ArticleSitaki Tena Bongo Movie -Sinta
Mkali wa zamani wa maigizo, Sinta ambae alitamba na skendo kibao kipindi hicho na unaambiwa yeye ndiyo wa kwanza kuwa na skendo kubwa Bongo, amefunguka na kueleza kwa sasa ana ishu gani mjini.Sinta...
View ArticleHaya Ndio Magari 15 ya thamani anayoyamiliki Floyd Mayweather
Floyd Mayweather ni bondia wa kimataifa anayetajwa kuwa mmoja wa mastaa wenye utajiri mkubwa duniani kupitia kazi yake ya ubondia, achilia mbali mataji makubwa aliyonayo, mwaka 2015 katika pambano lake...
View ArticleKIJANA MWANZA MBARONI KWA KUMTUKANA RAIS MAGUFULI NDANI YA GARI
Mgomo wa daladala Jijini Mwanza umesababisha kijana mmoja Jijini humo kutamka lugha chafu ndani ya gari ambayo alipewa lifti limemsababishia kuishia mikononi kwa sheria.Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
View ArticleMwana FA kushoot video yake mpya SA ‘ni watu walio very serious na kazi yao’
Mwana FA anatarajia kwenda tena nchini Afrika Kusini kufanya video ya wimbo wake ujao.Hiyo itakuwa video ya pili yake mwenyewe kuifanyia nje ya nchi baada ya ile iliyopita ya wimbo wake ‘Asanteni kwa...
View ArticleRAIS MAGUFULI AMFUTA KAZI MKURUGENZI ALIYEMTEUA JUZI, ASEMA HAKURIDHISHWA NA...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bagamoyo.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MKUTANO TINDE, ISAKA NA KAHAMA MKOANI SHINYANGA
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia wa wakazi wa Kahama mara baada ya kuwasili akitokea Nzega mkoa Tabora.Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akicheza...
View ArticleIrene Uwoya asema angeumudu ‘ukuu’ wa wilaya kama angepewa
Msanii wa filamu Irene Uwoya amefunguka kwa kusema kuwa kama angepata nafasi ya ukuu wa wilaya basi angefanya vizuri kwa kuwa ana uwezo mkubwa wa kuongoza.Muigizaji huyo ameimbia Bongo5 kuwa hakuwa na...
View Article"Mc ni vizuri kusikiliza wateja wako kwa umakini sana nini wanataka" Mc Dr Cheni
Mc Dr Cheni akipata maelekezo kutoka kwa mteja wake
View ArticleVIDEO: Maelezo ya DK 4, ndugu aelezea dakika za mwisho kabla ya Kundambanda...
Leo July 22 2016 taarifa za kifo cha msanii wa filamu za Comedy Ismail Issa Makombe ambaye wengi tunamfahamu kwa jina la ‘Kundambanda’ zimeanza kuenea, taarifa rasmi kutoka kwa ndugu wa karibu wa...
View ArticleDAR: Askari wa Usalama barabarani (Trafiki) auawa kwa kupigwa risasi
Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Sajenti Mensah wa Kituo cha Polisi Oysterbay ameuawa usiku huu kwa kupigwa risasi akiwa kazini eneo la Sayansi Kijitonyama jijini Dar es Salaam.Kamanda wa...
View ArticleMan United yapewa kipigo cha kwanza chini Mourinho..Mwenye Atatea Timu yake
Jose Mourinho amesisitiza kwamba hawezi kujaji wachezaji wake wa Manchester United kutokana na kipigo cha mabao 4-1 walichokipata kutoka kwa Borussia Dortmund na kusema kwamba: “Injini ilikuwepo...
View Article