Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bagamoyo.
↧
RAIS MAGUFULI AMFUTA KAZI MKURUGENZI ALIYEMTEUA JUZI, ASEMA HAKURIDHISHWA NA UTENDAJI WAKE WA KAZI
↧