Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Browsing all 2428 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. MAGUFULI ACHAGULIWA KWA KISHINDO KUWA MWENYEKITI MPYA WA CCM LEO...

 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Jakaya Kikwete akimkabidhi moja ya vitendea kazi, Mwenyekiti mpya wa CCM, Rais Dk. John Magufuli baada ua Wajumbe wa mkutano Mkuu wa CCM, kumpitisha asilimia kwa mia ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI TAREHE 24.07.2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wasanii Wamlilia Kikwete Walipokuwa Wakimuaga Kwa Kustaafu Uwenyekiti Wa...

Wasanii wa Bongo Movie na muziki wa kizazi kimpya wamesema watamkumbuka sana Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Jakaya Kikwete kwa msaada aliyowapatia kipiti cha utawala wake akiwa Rais na Mwenyekiti wa chama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond na Swizz Beatz wakutana na kuzungumza New York

Swizz Beatz ni supastaa wa Marekani aliye mstari wa mbele kuwapa support wasanii wa Afrika. Producer huyo mkongwe, amewahi kupost video akifurahia nyimbo za wasanii wachache wa bara hili akiwemo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mo Dewji kugawa nusu ya mali zake kwa Watu Masikini

MKURUGENZI Mtendaji wa makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL Group), Mohammed Dewji, ameungana na matajiri wakubwa duniani, kutangaza azma ya kugawa nusu ya mali zake kusaidia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFANIKIO YA RAIS MAGUFULI KATIKA KIPINDI CHA MIEZI 8 ILIYOPITA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITAREHE 23/06/2016UTAFITI MIEZI 8 TOKA MHE RAIS JOHN MAGUFULI AMECHAGULIWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIANdugu waandishi wa habari habari za leo na pole kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diwani Akwepa Risasi sita akipambana na majambazi Moshi

Diwani wa Kata ya Kiborlon (Chadema) katika Manispaa ya Moshi, Frank Kagoma ameonyesha ujasiri wa hali ya juu alipopambana na majambazi waliokuwa na silaha za moto. Alinusurika kuuawa baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli mgeni rasmi Sherehe za Mashujaa Dodoma

AMIRI Jeshi Mkuu, Rais John Magufuli atakuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Kitaifa, yatakayofanyika mjini Dodoma leo.Hiyo itakuwa ni mara ya kwanza kwa maadhimisho hayo kufanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HONGERENI SANAA MAHARUSI MC PILIPILI ALIHUSIKA VILIVYO MIMI NILIKARIBISHWA NA...

 Hongereni sana maharusiMc dr cheni na maharusiMc pili pili naye ndiye aliyeunguruma ndani ya mirado nimekuja dakika za mwishoHawa nao walikuwepo nakumbuka hawa send off Yao Na harusi zote mc nilikuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HONGERA SANA AMINA USIKU WAKO ULIPENDEZA SANAAA

    Mc kazini Dj baby alibahati kupita Kwenye kazi yetu akiona tunavyopambana  Amina akiwa Na kaka yake

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HONGERA SANAA MWAJU USIKU WAKO ULIMEREMETA SANAAA

 Mmependeza Na mumeo mtarajiwa mungu awasimamie Kwenye ndoa yenu

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali kuwaleta wataalam wa filamu na muziki kutoka India

Serikali ya Tanzania inajipanga kuiandikia barua serikali ya India kuomba wataalam wa filamu na muziki ambao watakuja kutoa darasa kwa wasanii wa Tanzania.Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akiwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha: DC wa Kinondoni Ali Hapi atema madini kwa wasanii wa muziki na filamu

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ali Salum Hapi, Jumapili hii aliwaalika wasanii wa filamu na muziki katika lunch maalum na kuzungumza nao namna ya kujibrand pamoja na kukuza vipato vyao.Hapi akisalimiana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFAHAMU MC DR. CHENI

 JINA LA PASSPORT NI MAHSEN AWADH SAIDI ILA WENGI HUMFAHAMU KWA JINA LA DR. CHENI HII NI KWA SABABU AMENG’ARA SANA KATIKA TASNIA YA UIGIZAJI AKIWA KAMA ACTOR,MOVIE DIRECTOR,MOVIE PRODUCER PIA DR. CHENI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dereva Ajali ya City Boy Iliyoua watu 30 Ajisalimisha Polisi

MMOJA wa madereva waliosababisha ajali ya mabasi ya Kampuni ya City Boy iliyotokea Julai 4, mwaka huu na kutoroka, Boniface Mwakalukwa (37), amejisalimisha mikononi mwa polisi na kufikishwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASTAA WENYE FOLLOWERS WENGI KUVUNA PESA KUPITIA MITANDAO YAO YA JAMII TANZANIA

Kwa muda mrefu sasa wasanii wenye followers wengi kwenye mitandao ya kijamii nchini wamekuwa wakiingiza fedha kutoka kwa watu na makampuni yanayotaka kutangaza biashara kwenye akaunti zao lakini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hongereni sana Mr and Mrs Michael

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSANII GABO ZIGAMBA APATA AJALI YA GARI IRINGA

Mwigizaji wa bongo movie Gabo Zigamba amepata ajali ya gari akielekea kutembelea kwenye hifadhi ya Ruaha ikiwa ni muda mfupi tu toka alipotembelea kituo cha Watoto yatima na kutoa misaada Iringa.Gabo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANA FA AWATAJA WASANII WAKE BORA WA HIP HOP BONGO

Mwanamuziki Mwana FA amefunguka na kuwataja wasanii wawili ambao yeye siku zote amekuwa akiwakubali kutokana na uwezo wao na kazi kubwa waliyoifanya katika muziki wa Hip Hop Tanzania kiasi cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hongera sana Godfrey Na Angela mungu awape kila la kheri

Hongereni sana maharusi wetu Geofrey na AngelaFor Booking Please Call Mc Dr CheniVODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Mmependeza sana Umependeza sana Angela  Angela...

View Article
Browsing all 2428 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>