JINA LA PASSPORT NI MAHSEN AWADH SAIDI ILA WENGI HUMFAHAMU KWA JINA LA DR. CHENI HII NI KWA SABABU AMENG’ARA SANA KATIKA TASNIA YA UIGIZAJI AKIWA KAMA ACTOR,MOVIE DIRECTOR,MOVIE PRODUCER PIA DR. CHENI NI MSHEHERESHAJI (MC) MAHIRI NA HODARI SANA KUTHIBITISHA HILI MCHAGUE AKUENDESHEE SHUGHULI UNAYOIANDAA SASA: MAWASILIANO : +255 754 222 201
MC DR. CHENI AKIWA KATIKA KAZI TOFAUTI AMBAZO AMEWAHI KUONGOZA KAMA MC, JINA LA DR. CHENI LINAHUSIANA KABISA NA YEYE KUWA KATIKA MUONEKANO HUO.