Wasanii Ude Ude na Iqu Junior wauawa katika tukio la ujambazi Tanga
Msanii na mtunzi wa nyimbo za Bongo Flava, Hamid Hafidh maarufu kama Ude Ude na rafiki yake Iku wameuawa katika tukio la ujambazi mkoani Tanga.Ude Ude enzi za uhai wakeKwa mujibu wa gazeti la Mwananchi...
View ArticleMajonzi ya kumpoteza ‘Ude Ude’ aliyeuwawa kwenye tukio la ujambazi Tanga...
Ulimwengu wa muziki na filamu wiki hii ulitawaliwa na majonzi baada ya kuwapoteza wasanii wawili wa muziki ‘Ude Ude’ na ‘Iqu’ katika tukio la kijambazi huko mkoani Tanga.Wolper akimtuza Ude Ude enzi za...
View ArticleJB kuacha kuigiza, adai ataachia filamu moja ya mwisho
Msanii mkongwe wa filamu Jacob Stephan ‘JB’ amefunguka kwa kusema kuwa ataachia filamu yake moja ya mwisho na baada ya hapo atawaachia vijana fani hiyo.Muigizaji huyo ambaye yupo mbioni kuachia filamu...
View ArticleTAZAMA Send Off ya Mchumba wa Masanja Mkandamizaji iliyofanyika Tar 4 Aug 2016
Send Off ya Mchumba wa Masanja Mkandamizaji iliyofanyika Tar 4 Aug 2016, Nimekuwekea Video Hapa Chini:
View ArticleWanaosema Wahindi wanawanyonya wasanii ni waongo – Mzee Chilo
Msanii mkongwe wa filamu nchini, Mzee Chilo amesema siyo kweli kwamba wasambazaji Wakiindi wanawanyonya wasanii wa filamu.Akiongea na Bongo5 Jumapili hii, Mzee Chilo amesema kuwa wasanii wengi kwa sasa...
View ArticleMABASI ya Dar Mbeya, Mwanza Sasa Kuchukua Siku Mbili Njiani Badala ya Siku...
Waliozoea kusafiri kwa mabasi kwa siku moja kutoka Dar es salaam kwenda Mbeya na kutoka Dar es salaam kwenda Mwanza na kwingineko kwenye umbali sawa na huo, sasa inabidi wajipange kisaikolojia kutumia...
View ArticleTRA kuanza kukusanya kodi kwenye nyumba za kupanga
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza kuanza kutembelea nyumba hadi nyumba kuhakiki gharama za upangishaji ili kukokotoa na kukusanya kodi sahihi ambayo ilikuwa haifiki serikalini. BOFYA LEWIS...
View ArticleFlora Mvungi adai wakati anaanza mahusiano na H.Baba alikuwa na wasiwasi
Msanii wa filamu na Mama wa watoto wawili, Flora Mvungi amesema yeye ni mmoja kati ya watu ambao walikuwa hawaamini kama kuna mahusiano ya mapenzi ya kweli kati ya msanii na msanii.Muigizaji huyo...
View ArticleSOMA UJUMBE WA DIAMOND KWA MTOTO WAKE TIFFAH LEO SIKU YAKE YA KUZALIWA
My @princess_tiffah You are certainly the most beautiful gift that i have received in my lifetime....This day is very important for us and to everyone who knows you...Only God Knows how much you mean...
View ArticleDIAMOND PLATNUMZ ADAI KIKI NDIZO ZINA MKUZA KIMUZIKI
Msanii nyota wa bongo fleva,Nassib Abdul maarufu kama Diamond amefunguka na kusema kwamba bifu zinaweza kusaidia kukuza muziki kama zitatumika vizuri.Diamond aliongea hayo kwenye mahojiano yake na...
View ArticleMkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda Apiga Marufuku Maandamano ya UKUTA, Awapa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameliagiza jeshi la polisi mkoa wa Dar es salaam kuhakikisha kwamba sheria zinafuatwa na kusiwepo kitu kinaitwa UKUTA ili wananchi waendelee na kazi zao kama...
View ArticleDiamond Analipa Fadhila kwa Chid Benz
Msanii wa bongo fleva ambaye anafanya vizuri kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa kwenye muziki, ametoa siri ambayo inamfanya awe mstari wa mbele kumsaidia msanii Chid Benz, alipopata...
View ArticleMiyeyusho Imenihamishia Kenya- Mlela
YUSUF Mlela mwigizaji wa filamu Bongo amefunguka kwa kusema kuwa amepata mkataba wa kufanya kazi na Wakenya baada ya ubabaishaji kuingia katika soko la filamu Tanzania kwani bila hivyo hali ingekuwa...
View ArticleGabo Awapa Neno Waliomzushia Kifo Baada ya Kupata Ajali
Hivi karibuni msanii wa filamu za Kibongo Gabo Zigamba alipata ajali akielekea kutembelea kwenye hifadhi ya Ruaha ikiwa ni muda mfupi tu toka alipotembelea kituo cha Watoto yatima na kutoa misaada...
View ArticleHaya Hapa Majibu ya Sober House kuhusu maendeleo ya msanii Ray C…..
Usiku wa June 16 2016 kuamkia June 17 kuna video ya mwimbaji wa longtime Bongoflevani Rehema Chalamila au Ray C ilisambaa mitandaoni akiwa anachukuliwa na gari la Polisi Kinondoni Dar es salaam ambapo...
View ArticlePAKUA & DOWNLOAD WIMBO MPYA NISHIKE KUTOKA KWA CHRISTIAN BELLA
Mfalme wa masauti Christian Bella baada ya kuachia video ya wimbo “Nishike”, Hii ni Audio ya wimbo huo. Producer Abby Dad.
View ArticleUtafiti: Watz Wengi Wameajiriwa Kwenye Ulinzi
Wanzania haiwezi kupiga hatua kimaendeleo na kupunguza tofauti ya hali ya maisha na kipato kwa watu wake iwapo idadi kubwa ya nguvu kazi ipo kwenye sekta ambazo hazina umuhimu mkubwa katika...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA MAKANISA NA MSIKITI WA CHATO,ATOA UJUMBE NA...
Shekhe wa Bakwata Wilaya ya Chato Hassan Issa Mnubi akiongoza dua ya Kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli nje ya Msikiti wa...
View ArticleHII HAPA ORODHA YA WANAHIPHOP BORA AFRIKA ,TANZANIA NA KENYA TUPO
Orodha ya wasanii wa muziki wa hiphop wakali zaida Afrika mwaka 2015 imetka huku nchini tofauti Afrika Mashariki zikiwakilishwa na zingine kukosa mwakilishi kabisa.Wiki mbili nyuma rapa Sarkodie wa...
View Article