Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

HII HAPA ORODHA YA WANAHIPHOP BORA AFRIKA ,TANZANIA NA KENYA TUPO

$
0
0


Orodha ya wasanii wa muziki wa hiphop wakali zaida Afrika mwaka 2015 imetka huku nchini tofauti Afrika Mashariki zikiwakilishwa na zingine kukosa mwakilishi kabisa.
Wiki mbili nyuma rapa Sarkodie wa Ghana alijitamba kwenye inteview nchini Marekani kuwa yeye ndio MC Bora namba mbili Afrika, hii ndio orodha kamili. Orodha hii imetayarisha na jarida la kufuatilia muziki wa hiphop Afrika lililopo Afrika Kusini [SA Hip Hop Magazine] 20. Cal Vin (Zimbabwe)


19. Cleo Ice Queen (Zambia)

18. Fid Q (Tanzania)



17. Dama Do Bling (Mozambique)

16. Youssoupha (Congo)

15. Stunner (Zimbabwe)

14. Tumi (South Africa)

13. Octopizzo (Kenya)

12. Dee Money (Ghana)

11. Olamide (Nigeria)

10. Phyno (Nigeria)

9. Zeus (Botswana)

8. K’naan (Somalia)

7. Manifest (Ghana)

6. K.O (South Africa)

5. M.I (Nigeria)

4. Cassper Nyovest (South Africa)

3. Ice Prince (Nigeria)

2. Sarkodie (Ghana)

1. AKA (South Africa)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>