KAULI YA JERRY MURO KUHUSU MANJI KUKODISHIWA TIMU YA YANGA
Msemaji wa Yanga Jerry MuroNdugu zangu kabla ya kuanza kutoa comment napenda sana tujue historia ya uendeshaji wa club na mpaka hapa club ilipofika kisha ndio tuje kwenye hoja ya msingi.Kwa kifupi club...
View ArticleHongereni sana Mr and Mrs Michael
mc dr cheni nikiwa na maharusiMaharusi mlipendeza sanaaa Kitu cha ndafu Mc KaziniNikiendelea kuwajibika We mtoto gaun la bibi harusi unataka nini Mwenyekiti na mama Mwenyekitmc ktk pozi Wageni...
View ArticleBirthday ya Obama White House ni noma!
Sherehe ya siku ya kuzaliwa ya rais wa Marekani anayeondoka madarakani, Barack Obama iliyofanyika kwenye ikulu ya White House, ilikuwa noma kwa mujibu wa mgeni aliyehudhuria na kuongea na mtandao wa...
View ArticleSERIKALI AWAMU YA TANO IMEDHAMIRIA KUPAMBANA NA VITENDO VYA RUSHWA NA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN amewahakikishia watanzania kuwa serikali ya awamu ya TANO inadhamira ya dhati ya kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za...
View ArticleMadee Afunguka Kuhusu Mkanganyiko wa Nani Anamsimamia Dogo Janja Tip Top
Msanii Madee leo ameweka wazi mkanganyiko ambao wengi walikuwa nao kuhusu msanii anayemsimamia Dogo Janja, mbaye pia yuko chini ya Tip Top ambayo inamsimamia yeye Madee.Akiongea kwenye Planet Bongo ya...
View ArticleMfalme wa Japan aonyesha nia ya kuondoka madarakani, katoa sababu zake
Mtu wangu taarifa inayogonga vichwa vya habari kwa sasa kwenye vyombo vya habari vya kimataifa ni hii ya Mfalme wa Japan kuonyesha nia ya kutaka kuondoka madarakani wakati katika sheria za nchi hiyo...
View ArticleMr Nice alivyoperfom album yake mpya nchini Kenya
Ni Mr Nice ambae hivi karibuni aliingia kwenye headlines kwenye vichwa mbalimbali vya mitandao nchini Kenya kwa kusaini mkataba mnono na kampuni ya Soko Bayi Entertainment.Mkataba huo uliambataka na...
View ArticleSerikali yapanga kurasimisha kazi za sanaa nchini
Serikali kupitia Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo imedhamiria kurasimisha kazi ya sanaa kuwa shughuli rasmi ya kiuchumi katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wa Rais Dkt.John Pombe...
View ArticleShetta adai kijana huyu ndiye anayetapeli watu kwenye mitandao ya kijamii...
Shetta akiwa na kijana anayemtuhumuRapper huyo amewataadharisha mashabiki wake pamoja na wadau mbalimbali kuwa makini na watu hao.“Kuna huyu jamaa inasemekana anatumia akaunti tofauti tofauti facebook...
View ArticleMahakama Kuu Yampunguza MAKALI Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP)
MAMLAKA ya kugomea dhamana za watuhumiwa aliyokuwa nayo Biswalo Mganga, Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), sasa imeondolewa na mahakama kuu.Awali, DPP alikuwa na uwezo wa kuzuia dhamana za baadhi...
View ArticleMASTAA ALI KIBA NA DIAMOND WAZUA KASHESHE HUKO KENYA
Rapper King Kaka wa Kenya, amewatupia lawama mapromota wa nchini humo kwa kuwalipa fedha nyingi wasanii wa nje kwenye show na kuwapa kiduchu wasanii wa ndani.Ametoa malalamiko hayo kwenye mtandao wa...
View ArticleUsikose kipindi hiki maalum, "SAFARI YA DODOMA" kila Jumatano saa 3:00 usiku...
TBC inakuletea kipindi kipya maalum ambacho kitawakutanisha wadau mbalimbali wakijadiliana na kuongelea umuhimu wa kuhamia Makao Makuu Dodoma, kama ilivyoagizwa na Mhe Rais John Pombe Magufuli.Kutana...
View ArticleBw. Hassan Abbas ateuliwa kuwa mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO)
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye amemtangaza Bw.Hassan Abbas kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali kuanzia Agosti 5 Mwaka huu.Uteuzi...
View ArticleDIAMOND ANASEMA HIZI NDIYO NYIMBO ZAKE TATU ZINAZOFANYA VIZURI KIMATAIFA
Msanii Diamond Platnumz amesema kuwa katika nyimbo zake zote ambazo amefanya ni nyimbo tatu tu ndiyo zimeweza kutamba zaidi nje ya nchi na kumtambulisha vizuri katika soko la kimataifa.Diamond...
View ArticlePaul Pogba Akabidhiwa Jezi Namba 6
Baada ya kusajiliwa na Manchester United kutoka Juventus ya Italia kwa ada ya paundi milioni 89 kwa mkataba wa miaka mitano, Paul Pogba, amekabidhiwa jezi namba 6 ambayo pia alikuwa akivaa zamani...
View ArticleDiamond Akiri Kupenda Bifu
Msanii Diamond Plutnuz amewashangaza watu baada ya kauli yake kwamba anaona bifu kwenye muziki na kitu kizuri, tofauti na wasanii wenzake wengi ambao hupinga suala la bifu.Akiongea kwenye Planet Bongo...
View ArticleALIKIBA ASHINDA TUZO MBILI HUKO USA
staa Alikiba ambaye kwa sasa yupo chini ya Sonny Music ameshinda tuzo mbili katika tuzo za Holly Wood $ African People's Choice zinazofahamika kama THE NAFCA zilizofanyika Califonia USA, Alikiba...
View Article