Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Browsing all 2428 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND ATOA MSAADA WA MILLIONI 20 KUSAIDIA UPASUAJI WA WATOTO WENYE VICHWA...

Msanii wa muziki Diamond Platnumz ametoa msaada wa tsh 20 Milioni kwa ‘GSM Foundation’ kwa ajili ya kusaidia jitihada za taasisi hiyo ya kutoa huduma ya upasuaji wa watoto wenye vichwa vikubwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Magufuli ataka alipwe bilioni moja na gazeti la Mseto

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani amelitaka gazeti la Mseto kumuomba radhi na kumlipa fidia ya shilingi bilioni moja kwa kosa la kuandika habari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Muigizaji wa filamu Bongo, Jada apoteza kumbukumbu baada ya ajali akiwa location

Muigizaji wa filamu Bongo, Jada amepoteza kumbukumbu baada ya kupata ajali ya kujigonga ukutani akiwa location.Taarifa hiyo imetolewa na muongozaji wa filamu aliyokuwa anashoot, Leah Richard...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wolper: Ninakuja na Mradi Mkubwa wa Fashion

Jacqueline Wolper amesema anakuja na mradi mkubwa wa fashion huku akidai kuwa ndio kitu anachokipenda zaidi katika maisha yake.Amedai kuwa kwa sasa yupo kwenye ujenzi mkubwa wa ofisi yake maeneo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maandalizi ya Serikali ya kuhamia Dodoma Yaiva,Muone hapa Naibu Waziri...

Baada ya Serikali ya awamu ya 5 kutangaza kuhamia Dododma kutekeleza Adhma ya waasisi wa Taifa letu,Naibu Waziri wa Ajira,Kazi na Maendeleo ya vijana Mhe.Anthony Mavunde ambaye pia ni mbunge wa Dodoma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Alhamisi ya Agosti 11,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli awataka Watanzania kuilinda amani

Rais Dkt John Magufuli amewataka watanzania kuilinda amani ya nchi na kusisitiza ikipotea hakuna atakayefaidika.Ameyasema hayo Jumatano hii wilayani Sengerema, mkoani Mwanza katika ziara yake ya siku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jokate Asisitiza Kuitamani Collabo ya Diamond na Alikiba

Jokate Mpenzi wa Ali KibaJokate Mwegelo amesisitiza kauli yake aliyoitoa kwenye Instagram mwezi uliopita kuwa anatamani kuona Alikiba na Diamond siku moja wanafanya collabo.Akiongea kwenye kipindi cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Juma Nature: Sifanyi collabo na Diamond mpaka Tushindanishwe

Mapema mwezi April mwaka huu Nature alikiambia kipindi cha Ladha 3600 cha EFM kuwa Diamond ndiye mpinzani wake pekee kwa sasa na hakuisema kwa ubaya.Akiongea na Times FM msanii huyo amesema, “Collabo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA KUU YATENGUA UAMUZI KUFUTA SHTAKA LA KUTAKATISHA FEDHA KESI YA...

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetengua uamuzi uliotolewa na Hakimu Mkazi Mkuu Emmilius Mchauru wa kufuta shtaka la kutakatisha Dola Milioni 6 za Kimarekani baada ya kuona liliondolewa kinyume...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mimi ni Mungu wa bongofleva – Q Chief

Msanii mkongwe wa muziki, Q Chief amefunguka kwa kusema kuwa yeye ni Mungu wa muziki wa bongofleva kutokana na mambo makubwa alioyafanya kwenye muziki huo.Muimbaji huyo aliyewai kutamba na nyimbo kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AliKiba atoa Tsh 21M kwa ‘GSM’ kusaidia jitihada za upasuaji wa vichwa...

Msanii wa muziki AliKiba amempiku Diamond kwa kutoa tsh 21 Milioni kwa GSM Foundation ikiwa ni siku chake toka muimbaji huyo wa wimbo ‘Kidogo’ kutoa msaada wa tsh 20 Milioni kwa ajili ya kusaidia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ridhiwani Kikwete awapongeza AliKiba na Diamond ‘mmeonyesha umuhimu wa kuwa...

Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhawani Kikwete amewapongeza wasanii wa muziki, Diamond Platnumz na AliKiba kwa kutoa msaada wa tsh 41milioni kwa ‘GSM Foundation’ ili kusaidia jitihada za taasisi hiyo za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Augustino Mrema: Mimi ni mpinzani mstaarabu

Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Mrema amewaonya wapinzani wenzake kuacha kupanga kufanya maandamano Septemba, 1 na watumie muda wao kushirikiana na Rais Magufuli kufanya kazi ili kuleta...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mzee Yusuph Ameacha Muziki na Kumrudia Mungu

Mfalme wa muziki wa taarabu mzee Yusuph maarufu kama “mfalme wa taarabu” amefunguka na kusema kuwa sasa ameamua kuachana na muziki huo na kumrudia Mungu huku akiwataka watanzania pia kumrudia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSIBA: Aliyekuwa Rais wa Z’bar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi afariki dunia -

Taarifa tulizozipata hivi punde ni kuwa Rais Mstaafu wa zanzibar wa awamu ya pili Mzee ABOUD JUMBE MWINYI amefariki dunia mchana huu nyumbani kwake Kigamboni.Taarifa za awali zinasema alikuwa ameugua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hongereni Sana Mr and Mrs Yusuph Harusi Yenu Ilifana Sana

Akyamungu Mr and Mrs Yusuph mmependeza sanaaaaaa Mmependeza sanaaaaaaMimi Mc na maharusiMc Nikiwajibika Natambuwa uwepo wa mc kalingaNatambua uwepo wa GAVANA Benk kuu BOT.Mastafu wa BOT Gavana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Salamu za Rambirambi kutoka kwa Rais Mstaafu Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mzee Jumbe Ausia Asizikwe Kiserikali

"MIMI Aboud Jumbe Mwinyi, namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunibariki kuzaliwa ndani ya Uislamu na namuomba aniruzuku kufa na kufufuliwa ndani ya Uislamu".Hayo ni sehemu ya yaliyomo katika Wasia wa Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mshukuru mungu kwa kila jambo Kwenye Maisha wapo wanaokutakia mema wapo...

Mshukuru mungu kwa kila jambo Kwenye Maisha wapo wanaokutakia mema wapo wasiokutakia mema Kubwa Mwamin mungu awezaye yote nawatakia jtatu njema wote

View Article
Browsing all 2428 articles
Browse latest View live