HONGERENI SANA MR & MRS ALEX HARUSI YENU ILINOGAA SANAA
HONGERENI SANA MR & MRS ALEX Hongera happy
View ArticleMakonda Kuwajengea BAKWATA Ofisi ya Kisasa
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekabidhi ramani ya jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), ikiwa ni ahadi ya kuwajengea jengo hilo.Akizungumza wakati...
View ArticleEneo la Ikulu Lauzwa Kinyemela
ENEO lililokuwa limetengwa ili ijengwe Ikulu ndogo ya Mkoa wa Mbeya limemegwa na kuuzwa. Limeuzwa kutokana na kile kinachotajwa kuwa ni maofisa wa ardhi Jiji la Mbeya, kutumia fursa ya eneo hilo...
View ArticleWizkid Asema Kidogo ya Diamond Ndio Nyimbo Bora na Anayoikubali Kwa Sasa
Msanii mkali wa africa na dunia kutoka nigeria wizkid akiongea na clouds fm amesema kwa sasa nyimbo ya diamond platnumz aliowashilikisha psquare kidogo ndio nyimbo bora kwake na ndio...
View ArticleWema Sepetu Aelezea Bidhaa yake Mpya na Alikopata wazo la Biashara hiyo
Nguvu ya mwigizaji staa wa Tanzania Wema Sepetu kutengeneza zaidi bidhaa zenye jina lake na kuziuza kwa Watanzania inaendelea kuonekana, ni juzijuzi tu alileta lipstick zenye jina la KISS BY WEMA.Wema...
View ArticleNimeshakuwa sasa, kiukweli nina kiu ya mume – Johari
Msanii wa filamu, Johari Chagula amefunguka kwa kusema kuwa kwa sasa ana kiu yakumpata mume sahihi ambaye ataingia naye kwenye maisha ya ndoa.Mwigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja, amesema umri...
View ArticleJibu la Mwimbaji Emmanuel Mbasha Kuhusu Kurudiana na Flora Mbasha
Kama utakuwa unakumbuka mnamo September 21,2015 moja ya stori kubwa iliyogusa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania ni ishu ya Hukumu ya Kesi ya Mwimbaji wa Gospel Tanzania, Emmanuel Mbasha ambapo...
View ArticleWakuu wa shule 90 za msingi na sekondari kuvuliwa madaraka Kinondoni
Hivi karibuni Rais Magufuli katika ziara yake mkoani Mwanza aliwaonya walimu wanaotoa taarifa za uongo za wanafunzi ili kujipatia fedha nyingi za elimu bure. Sasa wilaya ya Kinondoni Dar es salaam...
View ArticleHatua nane zilizochukuliwa na serikali baada ya uhakiki wa mikopo ya wanafunzi
Wizara ya elimu, sayansi na teknolojia iliunda timu ya kuhakiki wanafunzi kwenye taasisi za elimu ya juu nchini ili kujiridhisha na uhalali wa wanafunzi wanaopata mikopo kwa ajili ya elimu ya juu....
View ArticleBreaking Newzz: Rais Magufuli Atengua Uteuzi Wa Mkuu Wa Mkoa Arusha Felix...
Mkuu wa Mkoa mpya wa Arusha,Mrisho Gambo aliyeteuliwa na Rais,kuapishwa kesho ijumaa Ikulu jijini Dar***BOFYA HAPA LEWIS MBONDE BLOG KUJUA ZAIDI
View ArticleNimejifunza,Nimekoma kwa Wasanii Wenzangu-Steve Nyerere
TENDA wema uende zako ni msemo ambao utumika sana kwa waungwana hili linamshinda mwigizaji na mchekeshaji mahiri Bongo Steven Mengele almaarufu Steve Nyerere baada ya kuonekana kuwa mstari wa mbele...
View ArticleWaziri Mkuu: Ukaguzi wa Wanafunzi HEWA Ufanyike Nchi Nzima
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza Wakuu wa Wilaya na Maofisa Elimu nchini wafanye ukaguzi katika shule ili kubaini wanafunzi hewa kwenye mpango wa elimu bure.“Kila mwezi Serikali inapeleka shule...
View ArticleKidogo ya Diamond yapanda daraja BBC Radio 1Xtra
Diamond Platnumz anachekelea tu sasa hivi kwasababu wimbo wake Kidogo aliowashirikisha mapacha wa P-Square umepanda daraja zaidi kwenye playlist za redio yenye heshima kubwa Uingereza, BBC Radio...
View ArticleSerikali Yapiga Marufuku Biashara Holela ya Mkaa
WIZARA ya Maliasili na Utalii kupitia Huduma za Misitu Tanzania ( TFS) imepiga marufuku usafirishaji wa mazao ya misitu ikiwemo mkaa ambapo mfanyabiashara anayefanya biashara hiyo, atapaswa kuwa na...
View ArticleMabasi ya mikoani kusimamisha huduma Jumatatu
Kuanzia Jumatatu wiki ijayo hakutakuwa na usafiri wa mabasi nchi nzima, baada ya Wamiliki wa mabasi yaendayo mikoani (Taboa) kuamua kusimamisha huduma hiyo ili yafanyiwe ukaguzi na Polisi.Katibu Mkuu...
View ArticleMalkia wa Taarab Bi Shakila afariki Dunia
Shakila Said Hamis… Jina lake lina uzito mkubwa sana kwenye muziki wa Taarab anafahamika kama miongoni mwa wasanii waliotamba miaka kadhaa na hits single ikiwemo Kifo cha mahaba, Mapenzi yamepungua na...
View Article