MAZISHI YA BI SHAKILA SAID YAFANYIKA MBAGALA CHARAMBE JIJINI DAR JANA
Mwili wa marehemu Bi Shakila ukiswaliwa tayari kwa maziko Waombelezaji wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Bi Shakila wakielekea mazikoni,jioni ya leo huko nyumbani kwake Mbagala...
View ArticlePicha: Jeshi la Polisi Likifanya Mazoezi ya Utayari wa Kukabiliana na Uhalifu...
Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wa wakiwa moja ya maozezi yao ya kupasha viungo kabla ya kuanza mazoezi ya kutuliza ghasia. Askari Polisi wa kikosi maalum cha polisi (CRT) wa mkoa wa Iringa wakiwa...
View ArticleBASATA Yatoa Salamu Za Rambirambi Kufuatia Kifo Cha Msanii Shakila
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa kifo cha Msanii wa muziki wa taarab Bi. Shakila Said kilichotokea ghafla nyumbani kwao Mbagala jijini Dar es Salaam jana...
View ArticleUkimya wa Tip Top Connection Unaniumiza – Kassim Mganga
Msanii Kassim Mganga ambaye awali alikuwa ni moja kati ya wasanii kutoka katika kundi la Tip Top Connection amesema ukimya wa kundi hilo unamuumiza na kumgusa sababu yeye bado ni mwanafamilia wa Tip...
View ArticleKumbe si Kenya tu,hata Ethiopia Hutumia Mlima K'njaro Kujinadi kwa Utalii
Wakuu week jana nilisafiri na ET805 kutoka KIA kupitia Mombasa then BOLE International Airport pale Adis Abbaba,nikiwa na safari yangu kwenda ughaibuni. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleMke Achoma moto maduka 4 na nyumba yake ya kuishi Arusha Ugomvi na Mumewe...
Headline za kuungua kwa majengo katika jiji la Arusha zimeendelea tena leo August 21 2016 ambapo katika kata ya Lemara mama mmoja anayejulikana kwa jina la Victoria Edward Wenga amechoma moto maduka...
View ArticleWaziri Mkuu: Hatua Zichuliwe Kwa Watumishi Wanaoiba Dawa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri nchini kuwachukulia hatua watumishi wote wa sekta ya afya wanaojihusisha na wizi wa dawa. “Fuatilieni na kuwachukulia...
View ArticleTazama NYOMI la fiesta Mwanza kwenye Uwanja wa Ccm Kirumba
Mkali wa singeli ManFongo na Shilole wakilivamia jukwaa la Tigo Fiesta 2016 katika tamasha hilo kubwa liliofanyika usiku wa jana jijini Mwanza na kukutanisha wasanii nguli katika muziki wa kizazi...
View ArticleDiamond Platnumz Amwagia Sifa za Kumwaga Zari Hassan...Aongelea Kuhusu Mimba...
Mkali wa smash hit iitwayo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa mtoto wake wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari.Taarifa hizo staa huyo alizitoa leo August 21, 2016 kwenye mtandao wake wa...
View ArticleKajala: Nataka Kuzaa Mtoto wa Kiume
Kajala na Mwanae Paula“Nahitaji kuzaa mtoto wa kiume ili Pamela naye ajivunie kuwa na kaka, siku zote nilitamani nipate watoto wenye jinsia tofauti, tayari ninaye wa kike sasa ni zamu ya kumpata...
View ArticleJeshi la Polisi Lamkamata Kijana akiuza fulana za UKUTA.......Latoa Onyo Kali...
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema limejiandaa kudhibiti maandamano ya Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania (Ukuta) yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
View ArticleUtafiti: Madaktari Afrika huzidisha dawa kwa wagonjwa
Na Geofrey ChambuaUtafiti unaonyesha kuwa madaktari wa nchi za kusini mwa Afrika wanatoa dawa nyingi zaidi ya zilizoagizwa na Shirika la Afya Duniani WHO. Utafiti huo uliofanywa na Chuo kikuu cha...
View ArticlePicha: Alikiba alivyotumbuiza mbele ya watu 15k Mombasa
Alikiba aliusurprise umati mkubwa wa wapenzi wa muziki jijini Mwanza kwenye show ya Fiesta Jumamosi iliyopita na kusababisha shangwe kubwa lakini hiyo haikutosha.Mkali huyo wa Aje siku moja baadaye...
View ArticleHamisa Mobetto Aukata Mzizi wa Fitina kuhusu Tetesi za Kutoka na Diamond
Kwa muda sasa mlimbwende wa Tanzania, Hamisa Mobetto amekuwa akituhumiwa kutaka kumpindua Zari the Bosslady kwa Diamond Platnumz.Skendo hizo zilivuma zaidi mwezi na kitu uliopita baada ya kudaiwa kuwa...
View ArticleOriginal Comedy waomba radhi kwa kuvaa sare za polisi kwenye harusi ya Masanja
Hivi karibuni kundi la sanaa ya uigizaji la Orijino komedi liliingia matatani baada ya Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam kuwahoji wasanii wanne wa kundi hilo kwa tuhuma za kuvaa sare za...
View ArticleDiamond: Nimenunua nyumba SA, nimechoka kuhangaika hotelini
Baada ya kudai kuwa ana nyumba Afrika Kusini na haoni sababu ya kununua nyumba nchini Marekani , Diamond amefunguka sababu iliyomfanya anunue nyumba nchini humo.Mapema mwezi April mwaka huu,...
View ArticleManeno ya Sober House Kuhusu Ray C Kupost Instagram…..
Unaambiwa Ray C sasa ni chuma cha Reli Amerudi katika hali yake ya kawaida kabisa baada ya kukaa Sober House kwa ajili ya tatizo la dawa za kulevya....Ray c kwasasa ameanza kutumia mtandap wake wa...
View ArticleRais Magufuli ateua Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 24 Agosti, 2016 amemteua Dkt. Modestus Francis Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.Kabla ya uteuzi...
View Article