JKT yatoa siku 7 wabunge wachukue madawati yao
JESHI la Kujenga Taifa (JKT), limetoa siku saba kwa wabunge wa majimbo 18 yaliyopo ndani ya mikoa saba nchini kuhakikisha wanachukua madawati yao yaliyotengenezwa na jeshi hilo kabla ya Agosti 30,...
View ArticleMajambazi Yaua Polisi 4 Mbande Dar es Salaam usiku wa Kuamkia Leo
Jeshi la Polisi limethibitisha kuwa jumla ya askari wake wanne wameuawa usiku wa kuamkia leo baada ya majambazi kuvamia tawi la benki ya CRDB lililopo Mbande, wilayani Temeke, Dar es Salaam.Akizungumza...
View ArticleALICHOKISEMA MWIGULU NCHEMBA BAADA YA POLISI KUUWAWA JANA
Tukio la kuwawa kwa Askari Polisi wanne katika shambulio lililofanywa na watu wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi usiku wa August 23 2016 zimeendelea kuchukua headline ambapo safari hii Waziri wa Mambo ya...
View ArticleUfafanuzi Kuhusu Wasiokopeshwa Mikopo Na HESLB Kudaiwa
1.0 UTANGULIZIKumekuwepo na taarifa zilizotolewa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, hasa gazeti la Jamboleo toleo namba 2541 la 23 Agosti, 2016 kuhusu Bodi ya Mikopo kuwadai...
View ArticleRais Magufuli Amuapisha Mkurugenzi Mkuu Mpya Wa Idara Ya Usalama Wa Taifa
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe magufuli akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis Kapilimba akila kiapo cha maadili ya viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es...
View ArticleWaziri Mkuu aagiza Matapeli wa Milioni 50 za Magufuli Wakamatwe
SIKU moja baada ya Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) kutangaza kuiva kwa Mpango wa Serikali wa kutoa Sh milioni 50 kwa kila kijiji, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameonya juu ya kuwepo kwa...
View ArticleWanaowabeza Polisi Mitandaoni ‘Kushughulikiwa’
JESHI la Polisi limefura. Ni kufuatia watu mbalimbali kulibeza mitandaoni kwa madai kuwa, limejikita katika matamko na mazoezi ya kukabili maandamano ya vyama vya siasa vya upinzani, kuliko kujipanga...
View ArticleRais Magufuli apokea taarifa ya Ujenzi wa Bomba la mafuta kutoka Uganda hadi...
Makamu wa Rais wa Kampuni ya Total Afrika Mashariki Bw. Javiero Rielo amemhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwa maandalizi ya kuanza kwa ujenzi wa bomba la...
View ArticleFlaviana Matata Aushtaki Mfuko wa PSPF Mahakamani
Mwanamitindo wa Tanzania anayefanya kazi zake nchini Marekani, Flaviana Matata ameushitaki mfuko wa pensheni wa PSPF mahakamani akitaka alipwe shilingi milioni 165 kutokana na mfuko kwa kosa la kukiuka...
View ArticleWanaomuita Young Dee 'Paka' Hawakosei - Maxmilian
Young D na Manager wake MaximilianMaxmilian ambaye ni boss na msimamizi wa msanii wa Rap nchini Young Dee amesema hali ya rapa huyo imeimarika na anaendelea vizuri hivyo watu watarajie kazi nzuri...
View ArticleMiili Ya Askari Waliouawa Na Majambazi Yaagwa Leo Kupelekwa Mikoani Kwa...
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati wa kuaga miili ya askari waliouawa katika eneo la Mbande, Temeke baada ya kuvamiwa na majambazi .Ibada hiyo ya kuaga...
View ArticleMwakyembe Asema Jeshi la Polisi Liko Sahihi Kuzuia Mikutano ya Ndani ya Vyama...
Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe amesema amri ya Jeshi la Polisi ya kuzuia mikutano ya nje na ndani ya vyama vya siasa ni halali ambayo kila Mtanzania na mwanachama wa...
View ArticleMahabusu Ajinyonga Arusha
Mahabusu aliyekuwa akishikiliwa katika kituo kikuu cha polisi jijini Arusha aliyetambulika kwa jina la Victoria Wenga (51) mkazi wa Lemara jijini Arusha amejinyonga hadi kufa usiku wa kuamkia jana kwa...
View ArticleRais Magufuli afanya uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 25 Agosti, 2016 amemteua Bw. Andrew Wilson Massawe kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa...
View ArticleAsante sana @didasentertainment kwa kuviunganisha hivi vichwa Kwenye project...
Asante sana @didasentertainment kwa kuviunganisha hivi vichwa Kwenye project moja @jb_jerusalemfilms<>https://www.instagram.com/jb_jerusalemfilms/ @richiemtambalike...
View ArticleJoh Makini awatahadharisha mashabiki wake juu ya akaunti feki ya Facebook
Rapper Joh Makini amewatahadharisha mashabiki wake kutowaamini watu wanaotumia jina lake kuuza biashara zao mitandaoni.Kupitia mtandao wa Facebook imefunguliwa akaunti ambayo inatumia jina la msanii...
View ArticleWasanii Wapenda Amani Waungana Kupinga Maandamano UKUTA Ya Chadema
WASANII mbalimbali wanaopenda amani wameungana kwa pamoja kupinga maandamano ya UKUTA yanayotarajiwa kufanyika Septemba Mosi, mwaka huu. Akizungumza jana mbele ya Waandishi wa Habari, Mwenyekiti wa...
View ArticleUmoja wa Wanawake Wapinga Maandamano UKUTA Ya Chadema
Umoja wa Wanawake Viongozi wa Vyama vya Siasa Tanzania (UWASATA), umepinga maandamano yasiyo na ukomo yaliyotanganzwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa kuwa hayana tija kwa wananchi na...
View ArticleMajambazi wavamia nyumba ya Q Chief, waiba vitu vya zaidi ya milioni 2
Q Chief amethibitisha nyumba yake kuvamiwa na majambazi na wamefanikiwa kuiba baadhi ya vitu vilivyomo ndani ikiwemo laptop iliyokuwa na baadhi ya colabo zake.Akiongea na Clouds FM, muimbaji huyo...
View Article