Update: Majambazi Kadhaa Yauawa Katika Mapigano na Jeshi la Polisi huko...
Majambazi ambao idadi yao haijajulikana wanadaiwa kuuwawa katika mapigano hayo kati yao na polisi huko Vikindu, wilaya ya Mkuranga leo. Milio ya risasi na mabomu vilisikika kuanzia saa saba usiku...
View ArticleKuna Kitu Ninacho Moyoni Mwangu Lakini.. – Wema Sepetu
Tangu malkia wa filamu nchini, Wema Sepetu aachane na mpenzi wake Idris Sutlan kuna mengi yamekuwa yakizungumzwa katika mitandao ya kijamii.Muigizaji huyo hakuwahi kuzungumza sababu ya kuachana na...
View ArticleBarakah Da Prince: Mr Blue anapotaka twende sasa tutafika
Series ya sinema ya Mr Blue na Barakah Da Prince inayomhusu Naj imeendelea, ni zamu ya hitmaker wa Siwezi kuongea.Akiongea na 255 ya Clouds FM Alhamisi hii, Barakah da Prince amesema kuwa hajawahi...
View ArticleMUFTI ASEMA BAKWATA HAITISHWI NA MANENO KUHUSU PAUL MAKONDA
MUFTI wa Tanzania, Shehe Mkuu Abubakar Zubery (pichani), amesema Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) halitishwi na maneno yanayoendelea mitandaoni kuhusu kujengewa jengo katika Makao Makuu na...
View ArticleMSANII BARNABA AKATAA KAZI ZA KISHIKAJI KWENYE STUDIO YAKE
Msanii wa bongo fleva Barnaba ambaye pia ni mmiliki wa studio za high table sound amefunguka na kusema kuwa hataki kufanya kazi ‘kishikaji’ kwenye studio yake.Barnaba ameweka wazi kuwa studio nyingi...
View ArticleTAZAMA PICHA ZA FIESTA 2016 ILIVYOTIKISA KAHAMA JANA USIKU
Usiku wa August 26 2016 ilikua ni zamu ya Kahama 87.5 kushuhuhudia tamasha la Fiesta 2016 ambapo kulikuwa na list ndefu ya wasanii kutoka bongoflevani, kama hukubahatika kuwa kwenye Fiesta Kahama,...
View ArticleJWTZ Lawatoa Hofu Wananchi.......Lasema Septemba 1 Litasherehekea Miaka 52...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) leo linaanza shamrashamra za maandalizi kuelekea siku ya maadhimisho ya 52 ya majeshi inayotarajiwa kufanyika Septemba Mosi mwaka huu kwa kufanya usafi na...
View ArticleJe unaitahiji mc wala usihangaike Huyu hapa Kijana wangu nimemfua vya kutosha...
drchenitzJe unaitahiji mc wala usihangaike Huyu hapa Kijana wangu nimemfua vya kutosha kaiva wanamwita @mckalinga_0767667931 namba yake hiyo hapo yupo vizuri hutojutia mjaribu sasa utaniambia
View ArticleAskari Magereza Atiwa Mbaroni Kwa Kuingia Wodini Akiwa Amelewa na Kisha...
POLISI mkoani Rukwa inamshikilia askari Magereza, Cleophas Chapaulinge kwa kosa la kulewa na kupiga risasi hewani akiwa wodini katika Hospitali ya Mkoa wa Rukwa mjini Sumbawanga na kusababisha taharuki...
View ArticleTAZAMA HAFLA NZIMA YA RAIS DKT MAGUFULI KUHUDHURIA MISA YA JUBILEI YA DHAHABU...
Rais Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro Fr. Stephano Kaombwe wakati akiwasili kuhudhuria Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe...
View ArticleMKUU WA MKOA MH MAKONDA APIGA MARUFUKU VIONGOZI WA DINI KUPANGA FOLENI OFISI...
Paul Makonda na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh AbubakarMkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amepiga marufuku viongozi wa dini kupanga foleni wanapokwenda katika ofisi za wakuu wa wilaya wa mkoa...
View ArticleKAMANDA SIRRO ATANGAZA KIAMA KWA WANANCHI WATAKAO ANDAMANA SEPTEMBA MOSI...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi (CP), Simon Sirro akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, wakati akitangaza kiama kwa...
View ArticleHongereni Sana Mr and Mrs Isaac makundi
Mc Dr cheni nikiwa na maharusi mr and mrs isaac wamependeza sanaaaa Hongereni sana maharusi wetu Hongera IsaacLeo ndafu ni ng'ombeMc nikiwajibikahapa nikiwa na watoto wakiwa na ujumbe mzito Hongera...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWASILI MJINI MBABANE SWAZILAND TAYARI KWA MKUTANO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye ardhi ya mji wa Mbabane nchini Swaziland tayari kuhudhuria mkutano wa 36 wa SADC wa Wakuu wa nchi na...
View ArticleWasomi: JPM Na Lowassa Wameonyesha Kuwa Mazungumzo Yataleta Muafaka.
Na Tiganya VincentWasomi na Wanazuoni mbalimbali wamepongeza hatua ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu zamani Edward Lowassa kushikana mikono na...
View ArticleWaziri Nape Avifungia Vituo Viwili vya Radio, Radio 5 Arusha na Magic Fm Dar
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ametangaza kuvifungia kwa muda usiojulikana vituo vya Radio 5 ya Arusha na Magic FM ya Dar es Salaam kwa sababu za uchochezi.Akizungumza leo...
View ArticleSHAMSA FORD KUFUNGA NDOA IJUMAA HII
Msanii wa filamu Shamsa Ford anatarajia kufunga ndoa Ijumaa hii na mfanyabiashara wa nguo aitwae ‘Chidi Mapenzi’.Shamsa na Chidi MapenziMuigizaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa ndoa hiyo itafanyika...
View Article