PICHA: Diamond Avunja Rekodi Meru, Kenya
Diamond Platnumz ana miaka mingi ya kuvuna mapesa kutokana na show zake. Kutoka kwenye mapokezi yaliyovunja rekodi, Meru nchini Kenya hadi kuangusha show iliyohudhuriwa na makumi kwa maelfu ya...
View ArticleLugha ya Kiswahili yapitishwa kuwa lugha rasmi ya Afrika Mashariki
Bunge la Afrika Mashariki limepitisha azimio la kuifanya lugha ya kiswahili kuwa lugha rasmi ya jamii ya Afrika Mashariki.Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen, limeripoti kuwa wajumbe wa bunge hilo...
View ArticleDiamond ajibu comment ya shabiki inayodai anamuiga Ne-Yo
Baada ya mashabiki kumtuhumu Harmonize kumuiga Diamond – sasa imekuwa ni zamu ya hitmaker huyo wa ‘Kidogo’ kuambiwa anamuiga msanii wa Marekani Ne-Yo ambaye tayari ameshafanya naye collabo miezi kadhaa...
View ArticleBREAKING NEWZZ:Lowassa, Mbowe, Mnyika Wakamatwa na Jeshi la Polisi
Viongozi wa Chadema waekamatwa na polisi na kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano.Akizungumzia kukamatwa kwa viongozi hao Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu...
View ArticleUVCCM Waahirisha Maandamano Yao,watii Agizo La Jeshi La Polisi
Agosti 22, 2016 Umoja wa Vijana wa CCM tuliutangazia umma na dunia kwamba ifikapo Agosti 31 mwaka huu tutaitisha maandamano ya amani nchi nzima yenye lengo la kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu...
View ArticleProfesa Mbarawa: Serikali haijakurupuka kununua ndege za Bombadier Q400
Na Abushehe Nondo na Sheila Simba-MaelezoSerikali imesema kuwa iliamua kununua ndege mbili za abiria aina ya Bombadier Q400 kutoka nchini Canada kutokana na uhitaji wa huduma ya usafiri wa anga kwa...
View ArticleSERIKALI YAOMBWA KUHARAKISHA SERA YA FILAMU.
Katibu wa Chama hicho, Jafari Makatu (Katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo. Wengine ni wasanii wa chama cha Waigizaji cha Mkoa wa Kinondoni (STDFAA).Na Jacquiline...
View ArticleIjumaa hii ya tarehe 2 Miss Kinondoni.Hii si ya kukosaaaaaaa
Ijumaa hii ya tarehe 2 Miss Kinondoni ndani ya Defrance hotel SINZAPerformance by Christian BelaKiingilio: VIP 30,000 Normal 10,000Hii si ya kukosaaaaaaa
View ArticleSend off:Hongera sana kwa hatua hii
Hongera sana kwa hatua hiiFuraha kwanzaNinabahati na ndafu
View ArticleNdege za Kivita Kutawala Anga la Dar Septemba 1
Septemba mosi mwaka huu inataraji kuingia katika histori ya Tanzania kutokana na matukio ambayo yanataraji kufanyika siku hiyo, matukio hayo ni pamoja na sherehe za miaka 52 ya Jeshi la Wananchi la...
View ArticleTaarifa Toka IKULU : Rais Magufuli atengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 31 Agosti, 2016 amemteua Bw. Doto M. James kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango.Kabla ya uteuzi huo Bw. Doto M....
View ArticleNdege za Kivita za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Zikivinjari Anga la...
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kesho Septemba Mosi litaadhimisha miaka 52 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo. Katika maadhimisho hayo, jeshi hilo limeeleza kuwa litaadhimisha miaka 52 kwa kufanya...
View ArticleNdoto zake kuwa Doctor hivyo anapenda umwite Dr Malick basi mungu ampe...
drchenitzNdoto zake kuwa Doctor hivyo anapenda umwite Dr Malick basi mungu ampe atakalo Ameen
View ArticleBibie naye anataka kuwa mwanajeshi duh kazi ipo haya Afande farzana
drchenitzBibie naye anataka kuwa mwanajeshi duh kazi ipo haya Afande farzana
View ArticleRC PAUL MAKONDA AUNGANA NA JWTZ KUFANYA USAFI DAR
Rais John Pombe Magufuli aliagiza December 9 2015 iwe siku ya usafi nchi nzima, na agizo likatekelezwa kama ilivyoagizwa.Lakini viongozi wa ngazi mbalimbali wengine walijipangia kwamba kila baada ya...
View ArticleTAZAMA TUKIO LA KUPATWA KWA JUA LEO HUKO RUJEWA
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla, Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Kanali Mstaafu Chiku Galawa pamoja na Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) , Pascal Shelutete wakiangalia tukio la...
View Article