Baada ya Kuacha Muziki, Mzee Yusufu Kuanza na Hili
Mfalme wa muziki wa taarabu nchini, Mzee Yusufu, ameondoka nchini leo Agosti 31, 2016 kwenda kuhij Makkah ili kutimiza moja kati ya nguzo kuu za dini yake ya Kiislam.Mzee kabla hajakwea pipa, eNewz...
View ArticleRais Magufuli Atoa ONYO Kwa Walioficha Mabilioni ya Pesa Nyumbani, Atishia...
Rais John Magufuli amewataka watu walioficha fedha majumbani kuziachia ziingie kwenye mzunguko vinginevyo anaweza kuamua kuzibadili ili wakose mahali pa kuzipeleka. Amesema watu hao wamekuwa na...
View ArticleRais Magufuli Awasili Pemba Kwa Ziara Ya Kikazi Ya Siku Mbili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Asubuhi ya leo tarehe 02 Septemba, 2016 amewasili Kisiwani Pemba ambapo majira ya Alasiri anatarajiwa kuzungumza na wananchi wa Pemba...
View ArticleMKUBWA FELLA AZIWEKA HADHARANI NYUMBA TANO ZA KIKUNDI CHA YAMOTO BAND
Nyumba za Wasanii wa Yamoto Band zikionekana kwa muonekano wa nje.Mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanawe, Saidi Fella akikagua kwa ndani nyumba za wasanii hao zilizojengwa nje ya mji Eneo la Mbande...
View ArticleHongera sana Caro kwa hatua uliyoianza muda si mwingi utakuwa kwa mumeo
Hongera sana Caro Bi harusi wetu mtarajiwa caro akiingia ukumbiniHongera sana Caro Mc dr cheni kazini nikiwajibika Mc dr cheni akiendelea kuwajibikaChampagne ikifunguliwa Duh si kwa miuno...
View ArticleNdoa Yamfanya Mwana FA Kuacha Kufanya Mambo Haya
MAPEMA mwezi Juni, mkongwe kwenye gemu la Muziki Bongo, ambaye pia ni staa wa Wimbo wa Bado Nipo Nipo, Hamisi Mwinjuma aliuaga ukapera baada ya kufunga ndoa na mzazi mwenzake ambaye ni akauntanti,...
View ArticleHatimaye Shamsa Ford Afunga Ndoa na Chidi Mapenzi
STAA wa Bongo filamu nchini, Shamsa Ford amefunga ndoa na Rashidi Said ‘Chidi Mapenzi’ ambaye ni mfanyabiashara wa maduka ya nguo.Sherehe za ndoa hiyo zilifanyika nyumbani kwa wazazi wa Shamsa eneo la...
View ArticleTazama Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha tano Awamu...
Ofisi ya Rais -TAMISEMI inatangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya Pili (Second Selection) kwa mwaka 2016. BOFYA HAPA KUONA
View ArticleRais Magufuli Azuru Kaburi La Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume, Aweka Shada...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Septemba, 2016 ameendelea na ziara yake Visiwani Zanzibar ambapo majira ya Asubuhi amezuru Kaburi la Rais wa Kwanza wa...
View ArticleRais Magufuli: Kuchezea amani ni kucheza mchezo usioweza kuucheza
Rais Dkt John Magufuli amewataka wananchi kisiwani Pemba kuondoa tofauti zao za kiitikadi na kushirikiana katika kuijenga Pemba yenye amani, umoja, maendeleo ya kuichumi na ustawi wa jamii.Ameyasema...
View ArticleHongera sana Win Usiku wako ulinogaa sanaa
Hongera sana Win umenoga Sana Mtarajiwa anatakiwa awe happy muda woteee Akimvisha saa mtarajiwa wakeBwana harusi mtarajiwa na waalikwa Mc nikiendelea na ki yangu ya kusherehesha Mc ktk pozi Si kwa...
View ArticleRais Magufuli Azungumzia Tukio la Maalim Seif kukataa mkono wa Rais Shein
Rais John Magufuli amemshangaa Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kwa kuidhinisha fedha za matibabu ya mpinzani wake wa kisiasa, Maalim Seif Sharif Hamad wakati alikataa kumpa mkono wa salamu...
View ArticleRais Magufuli aahidi kulinda Muungano na kudumisha amani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewahakikishia wananchi wa Zanzibar kuwa atasimamia kwa nguvu zote masuala yote yanayohusu maendeleo, kudumisha Muungano wa Tanzania...
View ArticleChristian Bella Afungukia Changamoto Aliyoipata Kwenye Kazi ya Fid Q
Msanii nguli wa kuimba mwenye asili ya Kongo na makazi yake hapa Bongo,Christian Bella , amesema amepata shida sana kwenye kurekodi wimbo wa msanii wa Hip Hop Fid Q, kutokana na ugumu wa mashairi...
View ArticleMtandao hatari wa Majambazi Wanaswa Dar es Salaam
Watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wanadaiwa kukamatwa na polisi wakiwa na zana mbalimbali ambazo hutumiwa na vyombo vya ulinzi zikiwamo silaha za vita na sare za polisi.Vitu hivyo vinadaiwa...
View ArticleHongera sana mr and Mrs Hassan Marijan Harusi yenu ilinogaa sanaaa
Hongera sana mr and Mrs Hassan marijan Hongera sana Christian Bella kwa kazi nzuri ya harusi ya janaChristian Bella na maharus wetuNafurahia nikifanyacho hata mtu akiona kibaya ila kwakuwa nafsi yangu...
View ArticleSteve Nyerere Atangaza Kuoa Januari
Msanii mkongwe wa filamu Steve Nyerere aliwasurprise baadhi ya wasanii wenzake wa filamu katika harusi ya Shamsa Ford baada ya kutangaza anaoa mwezi januari mwakani.Akitoa neno kwa niaba ya wasanii...
View ArticleTAZAMA PICHA MPYA AMBAZO HUKUZIONA ZA HARUSI YA SHAMSA FORD
Beautiful and talented Tanzanian actress Shamsa Ford got married last Friday, she looked gorgeous and she also got great support from fellow celebrities. Here are official wedding pics of the screen...
View Article